Ushauri wangu kwa wanawake

Ushauri wangu kwa wanawake

Kosa ulilofanya ni kumpa simu yako wakat hana uhusiano na wewe,halaf hamjawa marafiki mpka mkazoeana kupeana simu,kwa jins nilivyoelewa lakin,,swal je angekua hajakuchunia kipind mnaenda church kuhusu whatsaap unadhan ingeishia jins ilivyoishia?? No no big No!! why? bcz ulianza kujiondoa kwake baada ya yy kuanza kukuchunia kuhusu kuzama kwake ktk whtsaap yako...

Labda unapata nguvu ya kumweka pemben sbu yy alishaanza kukuweka pemben mpka kufikia kutoka na mshkaji mwngine ili kukuumiza roho...
True that.

Niliandika uwanaume mode sehemu... Ni hivi, sikutaka aone SMS za Gf. Nilijua tu hapa kitanuka. Sijawahi kumuambia kama nina gf, but nilishamuambia we are strictly friends nothing more. Basi tu tamaa, nilitaka kumuweka kwenye radar, na angejua nina Gf chance kubwa angepotea. That's the mistake I made. Ila it won't happen tena aisee.

About phone, duh sijui nikoje, Mimi nikikuona Mara mbili, au tukiwa class moja, ukaniomba simu umpigie mtu, nakupa faster, since nakujua and kuna chance ya kukujua more. But huyu niliona alikuwa anapeleleza my life.

-callmeGhost
 
hata nyie wakaka mnajisahau mkitupata,,,ulinitongoza while givin me all attention sahz few calls n almost zero txts
Huyu nilie nae hata friends wanaona mimi ndio najipendekeza. Kwanza yeye anatext tu mchana(rarely) na Mara nyingi usiku(Saa tano-sita) basi.

Muda mwingine atakuambia nipo discussion. Mara nipo busy nafanya project. At the end of the day sina doubt if she is cheating since sio mtu wa hivyo kabisa.

Attention nampa sana. Muda mwingine mpaka anasema its too much. Soon ataenda chuo nchi nyingine, nami nitaenda kwingine maybe atanimiss[emoji3]

mi nnataka nipunguze attention na mapenz labda atashtuka na kukumbuka nafas yake ila hamna kitu kibaya kama mwanaume kujisahau
 
Hiyo si kwa wadada tu

hata kwa wanaume...wanawake nao wanahitaji attention...mawasiliano ya mara kwa mara.
 
Hongera mkuu ila wengi wa aina yako wanaishia kusalitiwa tu.
Duh! God forbid. Ungekuwa unamjua, she is so different. Sijawahi ona kama huyu. Maybe people change, hope she will change for good.

-callmeGhost
 
Back
Top Bottom