Ushauri wangu kwa wanawake

callmeGhost

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
278
826
Wikiendi ndio ina malizika. Naami mlienjoy. Hii ndio thread yangu ya kwanza JamiiForums. Siku zote naamaua kutoa maoni yangu kwa comments, leo nimeamua kuanzisha hii.

Dada zangu, leo nimeona ni vyema nitoe ushauri mdogo. Huu ushauri ni from experience yangu. Ongeza na yako uone kama ni mzuri. Ushauri huu nitatoa kwa story fupi. Naomba mfunge mikanda, kwani landing itakuwa rough kidogo.

ADVICE TO ALL THE WOMEN:

Hapa mtaani kwetu kuna Dada mmoja anaishi. Huyu Dada nakuwaga namuona sana dukani, kwani kwao ni opposite na duka. Kila siku nikienda dukani, ananiangalia huyo. Mwanzo nilikuwa nikitoka hapo narudi kujiangalia kwenye kioo, kama sijanawa macho vizuri. Maana sijui ananiangaliaga nini. Na Mimi kama mwanaume inabidi uonyeshe dominance, sasa nikiona ananiangalia, na mimi namkazia macho. Iliendelea hivi kama miezi mitatu.

8ebd69501d3c1d4fc67a3ade0b82c5cc.jpg


Mwanzoni wa mwezi wa nne nilimuona mida ya saa moja usiku, alikuwa amevaa dark blue dress, iliokuwa inamtoa shape balaa. Siwezi kuwadanganya, kaumbika, ana mguu wa beer wakati yeye mchaga. Siku ile aliniangalia, akanunua alichofata, akaondoka. Nilingiliwa na msukumo kuwa niende kumsalimia. Ningependa kuwa rafiki yake. The eye contacts were awkward.

Kumsalimia niliomba na number, akasema hana simu. Kumbuka kusudi ilikuwa urafiki. Nina gf na nina mpenda sana tu. Nikasema poa. Urafiki ukaendelea, now tulikuwa tukionana ni salamu tu. Afadhali aliaacha kuniangalia. Ananipa attention kuliko gf wangu, which feels good kiaina. Sasa hili limeingiza tamaa.

22f200316acc368c007b296ee4dcb5e5.jpg


Gf wangu sio mtu wakuonyesha affection, especially in public. Hata kumshika mkono hataki. Namuelewa ila kuna muda najiuliza au anaona aibu kutembea na below average looking guy. Sasa huyu Jirani, she likes it. Akiniona anataka kunisindikiza ninakoenda. Gf wangu muda mwingu atakuambia nipo discussion. Mara nasoma. Hata texting shida. Namuelewa. And sina doubts nae but the attention anayo nipa jirani its great.

Kila siku napendaga kumuambia nina gf lakini uanaume mode unaingia. Napata kigugumizi. Kama vile nikisema nakosa something. I feel guilty kwa kweli. Siku nilimuona usiku kaja tu kunihug, akaniambi she likes me. Duh sikujua cha kujibu zaidi ya kuuliza tena. Akasema she does. The day ended with a goodnight kiss ya mashavu.

Kibaya kuhusu yeye anataka kuona simu yangu. Na nikimpa ni kwenda Whatsapp. Siku aliniomba ampigie mama yake. Akaishia whatsapp. Leo nilikuwa naenda church nikakutana nae. Akaniambia una smilia text za nani, ilikuwa motivational speech. Tena katuma mjomba. So nikampa asome, alidhani mwanamke. Sasa akaamza kuscrow older texts, nikamnyanganya simu. Hakuingea na Mimi njia nzima. Yani tulienda kama kuchikuchi hotae, maana nilikuwa nambembeleza ati. Stupid I know.

Description za huyu Dada, kifedha hawana kivile. Msinielewe vibaya, unaangali tu anavyoishi. So I might be wrong. Ni mcheshi sana. Kila kijana mtaani anamsimamisha. Akinina Mimi ananijoin, basi najiona king maana wakaka vijiweni wanamuongelea sana. Nikikuya anaongea na any other guy kiroho kinaniuma kiania.

Tunapoelekea sikupapenda, nikaanza kumpotezea. Siku akanikitabdukani, akanipiga jicho na akaondoka kwenda duka lingine. Kuna mkaka akaanza kumpiga sound naona wakasepa wore. Najua tu alifanya hivi kunikomoa maana siku zote anawapigaga back fires. Moyoni kili nitouch. As you know, we men love to own. Najua sio gf wangu but nilikuwa nilishaingiliwa na protective mechanism flani.

Baadae akaja akaanza kuongea na mimi. Akaniuliza kwa upole mbona siku hizi hunisalimii. Nikazuga zugua tu. Huyu Dada anapajua kwetu, na ananiona mshua flani. Basi nikimuona tu, ujue ataomba nimnunulie kitu. Mimi nanunua nikiwa na hela hapo hapo maana mara nyingi namuona nikitoka mazoezini. Hii sio ishu. Ningependa kuwajuaza kuwa nilimuambia nikiondokaga nitampa simu yangu. Nilimuambia hivi mwanzoni kabisa. Juzi aliniambia anaenda kufata simu take kwa fundi, alivyorudi akssema hakumkuta ila jioni nilimuona na simu why did she lie? Siwezi jua. Maybe alitaka nimpe na yangu.

Sasa toka alivyokasirika tulivyotoka church mpaka now sijaongea nae. Yote kisa Whatsapp. Nilishamwambia strictly friends sema she acts as if we are dating. Leo nimemuona sijui mara ngapi, nikimuona nabadilisha njia, mpaka nimepita kwenye madimbwi kisa tu kumuavoid maana huyu ni magnet, utaishia kumuuliza what's wrong na sitaki mazoea nanza kukata line. Nabaki njia kuu huyu Dada ananipeleka pabaya naona naanza kumjali.

Na soon nitahama mtaa. Noamba mambo yawe mazuri niondoke haraka. Ikitokea next time nakutana nae nashout kabisa, I have a girlfriend. Nikianza salamu nitapata kigugumizi.

Conclusion: Nampenda sana gf wangu. But nilichojifunza ni kwamba communication is important. Gf wangu unaweza ukakutana naye na asikufurahie kivile but huyu Dada anakuja anasmile mpaka you feel good. Gf wangu muda mwingi atakuambia nimechoka Mara nasoma. Dada zangu, wapeni partners wenu attention. It builds up a strong relationship. Na kaka zangu bakini njia kuu, women can easily trap you. Dada ana shape ka Vera Sindika, kiuno ka Yondo Sister. Ila babe kamzidi.

Long story short advice, niliona niitoe kwa mfano wangu. By the way that happened all in 6 months

a72c5ebb1600a5ae88471113fd00ded9.jpg


-callmeGhost
 
Uninterrupted truth.. This is story not reality by then meaningless..
I waste my time scrolling nonsense story..
Damn it..
Je ni utamaduni wa kutosoma. Ngoja nikujibu kwa lugha yako.

Re-read again. I mentioned that its from my experience. By the way, it was just an advice, don't like it? Move on. It was more directed to women since I knew a**holes like you would pop up. Get a life brother.

Don't take it personal.

-callmeGhost
 
Je ni utamaduni wa kutosoma. Ngoja nikujibu kwa lugha yako.

Re-read again. I mentioned that its from my experience. By the way, it was just an advice, don't like it? Move on. It was more directed to women since I knew a**holes like you would pop up. Get a life brother.

Don't take it personal.

-callmeGhost
 
Kama Ni huyo wa kwenye picha....gf atanisamehe tuu huko mbele ya safari na ataelewa.

Mawasiliano muhimu saana. Wanaume wanapenda attention, saana, Ila mabinti wengi wakishapendwa wana relax.
 
Kama Ni huyo wa kwenye picha....gf atanisamehe tuu huko mbele ya safari na ataelewa.

Mawasiliano muhimu saana. Wanaume wanapenda attention, saana, Ila mabinti wengi wakishapendwa wana relax.
Ndio maana nikimuona nashindwa kusema kama nina Gf. Ila next time nimejipanga. Simchekei tena.
 
Kosa ulilofanya ni kumpa simu yako wakat hana uhusiano na wewe,halaf hamjawa marafiki mpka mkazoeana kupeana simu,kwa jins nilivyoelewa lakin,,swal je angekua hajakuchunia kipind mnaenda church kuhusu whatsaap unadhan ingeishia jins ilivyoishia?? No no big No!! why? bcz ulianza kujiondoa kwake baada ya yy kuanza kukuchunia kuhusu kuzama kwake ktk whtsaap yako...

Labda unapata nguvu ya kumweka pemben sbu yy alishaanza kukuweka pemben mpka kufikia kutoka na mshkaji mwngine ili kukuumiza roho...
 
yani unababaika na kujizungusha sana kwa huyoi binti...kama mbwai mbwai tu...mi simuachi...kwani lazima uu shout kuwa uuna gf we kuwa na gf waki kitaa aone basi...au fanya yako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom