mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
habari ndugu zangu wana jf. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya tanzania mheshimiwa lowasa, yeye binafsi anapinga tuhuma hizi na kusema kua sio za kweli. Ushauri wangu kweke ni kwamba naomba aitishe mdahalo wa wazi utakaompa nafasi ya kujibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa kwake ili watu tujue ukweli ulipo. Binafsi namkubali sana ila nakua namashaka sana na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa hiyo naomba aje ajieleze mbele wa wananchi tujue ukweli uko wapi. Naomba kuwasilisha.
kweli kabisa anaweza kutumia pesa nyingi sana kwa njia anayoitumia ila mimi binafsi naona kujitokeza hadharani na kujibu maswali kwa watanzania itakua ni njia bora zaidi kwake. Kama kweli anasema tuhuma hizo hazimhusu basi itakua ni kazi rahisi sana kwake.ushauri mzuri huu kuliko maelezo!!!!kuna vyombo vya habari,atoke aruhusu kadamnasi imuulize maswali impe ushaidi!!!hapo ndipo atakuwa amejisafisha!!otherwise jf au nec kwa kugawa hela hatoweza!!!!
jamani mnyonge mnyongeni
haki yake impeni, angekuwa na kosa asingesubutu kuwaambia waache kupindisha mambo
kilichomnyamazisha mzee wa kaya nini
lowasa alisema mzee wa kaya anajua kila kitu umesikia kakanusha?
Kitu ya mzee wa kaya hiyo ndio maana alinyamaza,
waweza thibutu kusema baba yako ndio anakojoa kitandaji na sio wewe
Habari ndugu zangu wana JF. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya Tanzania Mheshimiwa Lowasa, yeye binafsi anapinga tuhuma hizi na kusema kua sio za kweli. Ushauri wangu kweke ni kwamba naomba aitishe mdahalo wa wazi utakaompa nafasi ya kujibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa kwake ili watu tujue ukweli ulipo. Binafsi namkubali sana ila nakua namashaka sana na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa hiyo naomba aje ajieleze mbele wa wananchi tujue ukweli uko wapi. Naomba kuwasilisha.
Ndo alivyokutuma uje ueleze ujinga hapa? kamwambie hivi "We are no long with him". Full stop.Habari ndugu zangu wana JF. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya Tanzania Mheshimiwa Lowasa, yeye binafsi anapinga tuhuma hizi na kusema kua sio za kweli. Ushauri wangu kweke ni kwamba naomba aitishe mdahalo wa wazi utakaompa nafasi ya kujibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa kwake ili watu tujue ukweli ulipo. Binafsi namkubali sana ila nakua namashaka sana na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa hiyo naomba aje ajieleze mbele wa wananchi tujue ukweli uko wapi. Naomba kuwasilisha.
Ndo alivyokutuma uje ueleze ujinga hapa? kamwambie hivi "We are no long with him". Full stop.
Mkuu hata kama unamkubali ila kusema kweli Lowasa ni mchafu na hata akitumia vyombo vyote duniani kujisafisha hatotakata ng'o hata kama serikali ingempeleka mahakamani ili maakama imsafishe bado tu asingesafishika kwani mahakama huwa matajiri na watu maarufu siku zote hawakutwi na makosaHabari ndugu zangu wana JF. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya Tanzania Mheshimiwa Lowasa, yeye binafsi anapinga tuhuma hizi na kusema kua sio za kweli. Ushauri wangu kweke ni kwamba naomba aitishe mdahalo wa wazi utakaompa nafasi ya kujibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa kwake ili watu tujue ukweli ulipo. Binafsi namkubali sana ila nakua namashaka sana na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa hiyo naomba aje ajieleze mbele wa wananchi tujue ukweli uko wapi. Naomba kuwasilisha.
Unaonaje ukimtumia PM ili umpatie huu ushauri, anaweza kuukubaliHabari ndugu zangu wana JF. Kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwaa hili, kwa muda mrefu nimekua nikisikia tuhuma nyingi zikielekezwa kwa aliyekua waziri mkuu wa jamhuri ya Tanzania Mheshimiwa Lowasa, yeye binafsi anapinga tuhuma hizi na kusema kua sio za kweli.
Ushauri wangu kweke ni kwamba naomba aitishe mdahalo wa wazi utakaompa nafasi ya kujibu maswali mbalimbali yatakayoulizwa kwake ili watu tujue ukweli ulipo.
Binafsi namkubali sana ila nakua namashaka sana na hizi tuhuma zinazoelekezwa kwake kwa hiyo naomba aje ajieleze mbele wa wananchi tujue ukweli uko wapi. Naomba kuwasilisha.
hapo sawa kabisaaombe air time tv zote,aende jangwani na maswali yaulize na yeyote!!sio dk 7 za nec huku wamejipanga!!!!!
nimekupata ndugu, ila nimeweka jamvin ili watu wengine waongezee nilichosahau. Na ajue watu wengine wanaupokeaje ushauri wangu.Unaonaje ukimtumia PM ili umpatie huu ushauri, anaweza kuukubali
Mkuu hata kama unamkubali ila kusema kweli Lowasa ni mchafu na hata akitumia vyombo vyote duniani kujisafisha hatotakata ng'o hata kama serikali ingempeleka mahakamani ili maakama imsafishe bado tu asingesafishika kwani mahakama huwa matajiri na watu maarufu siku zote hawakutwi na makosa
watu wengi wanajua lowasa ni mchafu hata mwenyewe pia kutokana na tuhuma nyingi zinazoelekezwa kwake cha ajabu yeye anakataa ndio maana naona ni bora aulizwe mbele ya wananchi na ajibu maswali ili tumwone kama mkweli.