TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,297
Wakuu matumaini yangu ni wazima wa afya!
Mimi ni miongoni mwa hawa graduate wa mwaka 2013, leo napenda niwashauri wale tu ambao hawana kigogo yoyote au mtu yoyote wa kumpigia pande kwenye nafasi za kazi. Mimi nawaombeni bila ya kupoteza mda hapa, nafasi za kusomea ualimu zinakaribia kutangazwa kwa ngazi tofauti tofauti ya cheti au diploma, kozi hizi kwani ni gharama ndogo sana na hasa ukipata vyuo vya selikarini.
Ila kama wewe una kijiuwezo kachukue postgraduate ya uwalimu, ndugu yangu utapoteza muda wa miaka miwili tu baada ya hapo unajihakikishia ajira, japo hutolipwa nyingi lakini la kinne hukosi.
Nimetoa ushauri huu kwa sababu nimeona watu wamekaa mtaani miaka mitatu bila ajira, sasa je ukienda kusomea uwalimu si ungekuwa unazungumza mengine kwa sasa! Kumbuka ni maamuzi magumu yanahitajika kwa sasa, mimi ni mmoja wapo nishachukua maamuzi magumu, hivyo nasubiri muda ufike nikajiunge na uwalimu. Ni kheri kupata mia tano kuliko kusubili elfu tano ya kufikirika.
Natumaini mmenielewa, akiri za kupewa.......