Ushauri wangu kwa DeepPond

Sijawahi kuzisoma zaidi ya title tu nikizikuta kwenye timeline. Ukute ni katoto tu kapo kwa shemeji yake kanawachota akili nawe umeamua kumshauri🀣🀣🀣
Hizi id fake bwana!!!
 
Sijawahi kuzisoma zaidi ya title tu nikizikuta kwenye timeline. Ukute ni katoto tu kapo kwa shemeji yake kanawachota akili nawe umeamua kumshauri🀣🀣🀣
Hizi id fake bwana!!!
😬😬😬😬😬 Na wewe usikute ni kabinti ka 14 years umeshika simu ya dada ume login jf πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Duh its hard.
Anyway life goes on.
 
Watu machoko kweli hahah.

Eti mtu anakuuliza unatoa wapi muda kuandika insha ndefu.

So na wewe umetoa wapi muda kuisoma thread haha.

Unatoa wapi muda kucomment kila post humu JF

Unatoa wapi muda kukaa kwenye kochi la shemeji yako unaangalia maisha magic.

Unatoa wapi kuangalia xvideos masaa matatu mfululizo.
 
Wengine machoko zaidi..

Eti kisa sina umaarufu ,sasa nataka kutumia id ya deeppond kugain attention

Anayesema hivyo profile yake na yangu zote tunatumia majina feki na picha feki so wanitambue nini kuhusu umaarufu, nifaidike nini na umaarufu wa JF.

Anayesema hivyo, eti kisa ana muda mrefu humu JF anaandika utumbo sasa anadhania yeye ndie don wa JF ..to hell fuckboy.
 
Tushazoeana wabongo na roho zetu...

Sijafuatulia life ya deeppond.

Nimekuja tu na ushauri juu ya jomba.

I have just been moved to do so.

Sijamlaumu kutokana na maisha aliyochagua ila nimemtaka aji control ili asije angusha ngome yake.
 
Yani unampenda kwa dhati sio kwa wivu na huruma hii jamaniπŸ™„πŸ™„jiongeze na wewe uwe mchepuko wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…