hapana mkuu tujenge kikosi chetu maalum cha ulinzi kwa ajili ya viongozi wetu kuwakkikishia usalama wao wakati wote wa maandamano tunatakaMkuu unamaanisha Chadema wawe na jeshi lao au?
Iwapo CCM wana Green Guard na hakuna anayewagusa, si mbaya na CDM wakiwa na Blue Guard hadi pale wote tutakapoamua kuitii katiba ya nchi!Mkuu unamaanisha Chadema wawe na jeshi lao au?
Ndugu politiki hebu nifafanuelie, hicho kikosi kabambe cha ulinzi (kku) kitakuwa kinatofautiana vipi na jeshi. Ninavyo elewa mimi kazi ya jeshi ni ulinzi, kku kazi yake itakuwa ni ipi tofauti na ya jeshi?
Reagan aliwahi kusema "Peace through strength" hili muweze kuheshimiana.
Mh: Politik,
Ni kweli nilisema hivyo na bado ndo msimamo wangu ktk maisha!
Kikosi cha ulinzi ni JWTZ, hicho ndiyo kinatambulika na katiba ya Tanzania. Kuanzisha kikosi cha ulinzi kingine ni dalili za kuipindua serikali iliyopo madarakani ambacho kinaweza ku-amount to treason charges.