Ushauri wangu kwa CCM..Msiupuuze!!

Ushauri wangu kwa CCM..Msiupuuze!!

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,330
Reaction score
324
Habari wana JF..
Kutokana na Slogan ya CCM na serikali yao kua wao ni Wasikivu,nimeona si vbaya nikatoa ushauri wangu kama ifuatavyo..
Kwa kuitumia CDM,CCM itaweza kutawala maisha!! Endapo wataitumia CDM kama chanzo cha ufumbuzi.wa Matatizo yanayoikabili Tanzania...
Kufuatilia Mikutano yao na kusikia ni maoni gani yanatolewa na wananchi..
Kero za Maji,Umeme,Wizi ,Ujambazi ulio kithiri sehemu mbali mbali hasa Jijini Dar..
Kwani Wananchi wana imani kua,CDM ndio mkombozi wao na rafiki yao,kiasi huwa free kupeleka malalamiko yao kwao na Wao CDM huyafikisha kwa CCM lakini badala ya kuyafanyia kazi,wanayapuuza..
Hii hupelekea Watanzania kuichoka CCM! Na Kuipandisha chat CDM pac na wao kujitambua..

Ni ushauri wangu kwenu CDM.. Watumieni CDM ili mtawale Milele!!
 
Hakuna jambo jipya wanaloongea chadema ambalo ccm haijui. Wao wanaleta potojo wakati ccm inajenga nchi
 
Chadema hawana hojanza maana zaidi ya kuchonganisha wananchi na serikali yao
 
Ukweli!!
Ukweli ndio dawa ya Mwongo..
Miaka 50, ahadi hizo hizo.. mnadhani watu hawakui?
 
Habari wana JF..
Kutokana na Slogan ya CCM na serikali yao kua wao ni Wasikivu,nimeona si vbaya nikatoa ushauri wangu kama ifuatavyo..
Kwa kuitumia CDM,CCM itaweza kutawala maisha!! Endapo wataitumia CDM kama chanzo cha ufumbuzi.wa Matatizo yanayoikabili Tanzania...
Kufuatilia Mikutano yao na kusikia ni maoni gani yanatolewa na wananchi..
Kero za Maji,Umeme,Wizi ,Ujambazi ulio kithiri sehemu mbali mbali hasa Jijini Dar..
Kwani Wananchi wana imani kua,CDM ndio mkombozi wao na rafiki yao,kiasi huwa free kupeleka malalamiko yao kwao na Wao CDM huyafikisha kwa CCM lakini badala ya kuyafanyia kazi,wanayapuuza..
Hii hupelekea Watanzania kuichoka CCM! Na Kuipandisha chat CDM pac na wao kujitambua..

Ni ushauri wangu kwenu CDM.. Watumieni CDM ili mtawale Milele!!
Ccm ni chama cha siasa haiwezi kuchukua mawazo ya saccos au kampuni binafsi
 
Chadema ijisafishe kwanza kutokana na tuhuma za viongozi wake kuiba ruzuku na kwenda kuvinjari na hawara zao nje ya nchi, kuiba ruzuku na kwenda kununua majumba ulaya na dubai, kupora wake za watu na kuvunja ndoa za majirani, kung'ang'ania madaraka na kuendesha chama kama saccos/kampuni binafsi ndipo waweze kuikosoa au kuipa mawazo ccm.
 
Sokoine,Kolimba...........
Mwangosi na wengineo wengi ni kazi ya CCM kupitia taasisi yao ya PoliCCM..
Kibanda, mwenyekiti wa chadema wilaya ya temeke,kujilipua mabomu kwenye mikutano na kumwagia watu kwa tindikali
 
chadema mna kazi,ulimboka mlituhumiwa,kibanda vile vile ila cha ajabu ccm wanajisahau kuwa wana dola na polisi wasifanya kazi ya upelezi wahusi wakamatwe wako chini yao....in ccm no brain use

Chadema huuwa na kutekeleza uhalifu kisha wanawahi kujisafisha na kupindisha ukweli kwenye vyombo vya habari
 
Back
Top Bottom