Ushauri wangu kwa CCM..Msiupuuze!!

Ushauri wangu kwa CCM..Msiupuuze!!

Tukimaliza daraja la Kigamboni tushapiga bao! Yaani Dar CDM wasahau kabisa! Wanahangaika lakini wapi na Jimbo la Mdehe anaujua ukweli ndio maana haangaiki tena!

Hapa kwetu mliahidi maji ya bomba, machinga complex mbona hakuna dalili?Halafu hivi hilo daraja ni kwa faida ya wananchi au mnunuzi wa kisiwa(G.Bush)?
 
Kisiwa kimeshauzwa Mkuu... Sema Wananchi wamekomaa na MACCM yameshakula mgao...
 
Hapa kwetu mliahidi maji ya bomba, machinga complex mbona hakuna dalili?Halafu hivi hilo daraja ni kwa faida ya wananchi au mnunuzi wa kisiwa(G.Bush)?

Ni mabigwa wa Ahadi,EL aliahidi Mvua ya Upepo
 
Back
Top Bottom