Habari zenu wandugu,
Kila mtu anafahamu jinsi wanawake wa kipemba wanavyopenda kujishughulisha na bihashara(japo ni ndogo ndogo) lakini sio sawa na wanawake ambao wanakaa bure tu wakisubiri kuhongwa. Kwa hili naomba niwapongeze wanawake wa kipemba. Mnajitahidi sana mbarikiwe sana.
Lakini tukiachana na hilo, kuna hili suala la usafi. Kwa usafi dada zangu wa kipemba mmefeli sana.Unakuta dada mchafu, mwili mchafu, miguu imekatika imeota mautandu, mavazi machafu na mazingira yanayowazunguka. Kwa hili jirekebisheni dada zetu wa kipemba. Usafi ni kitu muhimu sana kwa binadam.
Wenu mtiifu,
Mutant gene,
Ahsanteni