Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Huu mchezo wavulana wengi huuanza kwa kufundishwa na wenzao hasa hasa wanapoanza kubalehe, Mara nyingi wengi huuanza form one wanapojiunga sekondari. Wanapouanza wanapewa nondo kadha na kadha kutoka kwa magwiji ikiwemo kutumia mafuta ya mgando aina ya vaselline jelly original.
Sio kitu kizuri hata kidogo.......
Maana ukipiga nyeto unatafuta raha ya tendo kwa kutumia kiganja kilichotapakaa mafuta ya mgando kikipanda na kushuka mnazi hadi pale mchezaji anapojiridhisha kwa kufika kilele (kupiga bao).
Hivyo basi akili inakua tayari imeshajitwin kwamba njia nzuri ya kufanya tendo ni kwa kutumia kiganja kilichotaoakaa mafuta ya mgando, Sasa itakapotokea kwa bahati nasibu ukatunukiwa kibumbu chenye joto la asili, utakavyo chovyo tu jebele wazungu nao watatoka dk 0......
Hebu fikiria mbeleni pindi utakavyokuwa umelala na mkeo unashindwa kufaidi uzuri wake eti kisa ulikuwa umekubuhu kujipa raha kwa mkono!!!! Jaribu kuwaza pindi kidume kingine kitakavyo kuwa kinamhudumia mkeo kwa mkong'oto wa maana ambao wewe umeshindwa kumpa.
Waza pindi utakapotumia pesa nyingi kujitibu tatizo lako la upungufu wa nguvu za kiume na bado usione hata chembe ya unafuu... Ukitaka uache hii kitu Jaribu kuwaza zaidi madhara yake na aibu utakayokumbana nao, hapo lazima uache...
Lakini acha udomo zege tafuta mtoto utafune kibumbu kwanza uone raha yake!!!!
Ila usisahau watoto wa kike tumeumbiwa sisi, na wao wako wengi kuliko sisi kwa hiyo unapopiga punyeto unaidhulumu nafsi yako mwenyewe***