swali zuri wacha tumsubiri ajibuswitishka naomba nikuulize swali hili rahisi tu na lijibu honestly...
Hao wanaume huwa unakutana nao katika mazingira yapi? (shule, njiani, kanisani, msikitini, kweny vilabu vya pombe na starehe)
Safi sana asigwa nakukabidhi rasmi #TeamB fomu iliyosainiwa uwe memberswitishka naomba nikuulize swali hili rahisi tu na lijibu honestly...
Hao wanaume huwa unakutana nao katika mazingira yapi? (shule, njiani, kanisani, msikitini, kweny vilabu vya pombe na starehe)