Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Ushauri: Wanaume husimama, Wanawake hukaa...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,560
Niaje? !

Naomba twende sawa tu wanawake wenzangu:

Ni lazima tukumbushane kuwa

1. Wanaume wakienda kujisaidia haja ndogo husimama

2. Wanawake wakienda kujisaidia haja kubwa hukaa kama sio kuchuchumaa

Sasa mwanamke unapotaka kumzidi mwanaume kwenye maisha ndio huleta haya matatizo yooote ya vilio kwenye Jamii kama

A. Wanaume wanachepuka
B. Wanaume wa sikuhizi wabaya
C. Wanaume wana vibamia
D. Wanaume hawajui kitu ndio mana tunapenda wazee

Unajua wewe kama mwanamke ukishajua haki zako kwenye mahusiano / mapenzi / ndoa na ukajitambua wewe ni nani (mwanamke ni shingo na sio kichwa) haya malumbano yooote yataisha

Mbona mama zetu waliishi na baba zetu vizuri?!

Vumilieni vijana ndoa nyingi na mahusiano mengi ya vijana zinakuwa juu ya mawe kwasababu wanawake wamesahau nafasi zao

Beijing (Elimu/ Haki sawa) isikufanye ukasahau kuwa sikio halizidi kichwa

Tulieni jomooni acheni ujinga

Narudia kuwa mwanaume akijisaidia husimama mwanamke hukaa/huchuchumaa ... usitake kusimama kama mwanaume utaumia

Alafu kama uko kwenye ndoa usimnyimee mpeee sa we kila siku umechoka woi. ..

Ni hayo tu kwa Leo, nadhani Somo nimeeleweka

haya mambo ya haki sawa na elimu za degree 1-2 zimewaharibi sana wadada kila kitu anataka awe sawa na mwanaume!.wanawake inabidi wajifunze hamna mwanaume duniani anataka mwanamke awe juu yake au adharauriwe na mwanamke ni fedheha sana,mwanaume mwenzako akudharau na mwanamke naye akudharau! sizani kama kuna mwanaume wa hivyo duniani
 
Hahaha
Labda kule kishumundu kwa wachaga na rombo
Ahahaha
 
Siku zote mpini utabaki kuwa mpini uwezi kuwa shoka kwa kuwa umetambua hlo pongezi Ila nao kiss wamesifiwa wasizifi sifa.
 
Back
Top Bottom