chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,681
Nashauri wale walioikamata bombadia wasikubali kulipwa hela nusu,hii kwao ni bahati ya mtende,wakomae mpaka walipwe zote,mkuu ameshasema nchi yetu ni tajiri
Pia nashauri hiyo hukumu waisajili mahakama zote za mataifa makubwa duniani ambako Tanzania ina Mali ili wazikamate kirahisi,kama ni mnada basi utangazwe laivu na BBC au CNN. Pia nashauri wafuatilie kule dreamliner inakotengenezwa ili likikamilika tu,kabla haijaletwa Tanzania pia ikamatwe na ipigwe mnada
Pia wafuatilie kama tuna deposit (akiba)benki ya dunia na IMF wakazikamate,
Najua TANESCO wanadaiwa na standard chartered bank ya Hong Kong .....ni wakati wao sasa nao kujikamatia dreamliner au kukamata meli itakayokuwa imebeba mabehewa kwa ajili ya reli mpya au mataruma ya reli
Lengo ni kuhakikisha tunalipa madeni yote haraka