Ushauri wakuu...

Kibomu

Member
Nov 11, 2010
7
0
Nina mdogo wangu wa kiume.

Nimemsomesha mpaka IV, sasa mkorofi, nilikuwa naishi naye dar nikimsema afanye shughuli za ndani au atafute kibarua anaona upuuzi nilimtimua akakimbilia kwa ndugu zetu, humtumia sms za matusi mke wangu.

Hivi majuzi ametafutiwa chuo na mjomba wetu, sasa mjomba anataka nimlipie gharama za chuo.

Sasa niko njia panda, naomba ushauri wenu wana JF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom