Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Imesoma positive ,kwenye control na Test ,mimba ipo,jiandae kwa clinics
 
Yeah positive hyo, vipi mtoto wa form one mini? [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Alimaliza cha 4 2015 asa me ndo nasoma mkuu...
Ananiharibia masomo kabbisa ani
 
Au sio equation...
Nalijua hlo lakin tym bado am still young 22 years then... Hahahahh jau babuu
Hakuna shida, tena kwa umri wako uko poa sana ukifika 40+ unapata mtoto wa kushauriana naye mambo makubwa zaidi na itapendeza zaidi kama mtafanana-ogopa kirusi tu.
 
Hakuna shida, tena kwa umri wako uko poa sana ukifika 40+ unapata mtoto wa kushauriana naye mambo makubwa zaidi na itapendeza zaidi kama mtafanana-ogopa kirusi tu.
Nakubali acha ning'atuke...
Nalivaa kibishi kama ipo kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…