halafu ameanza na mikwara na kikristo juu " lakini pressure imaempanda mpaka kasahau kusoma maelezo "??Mkuu kusoma haujui si kuna maelezo kabisa ya picha na maneno
Hakuna mimba punguza wasiwasi
Yap, baada ya mwezi akija kupima tena atapata uhakikayeah mkuu ipo sema inawezekana bado changa sana,nimezoom nimeona faint line.
hahaa hahaaKumega kutamu sana balaa linakuja akianza kusema kapoteza siku zake, unatamani uende kumsaidia kuzitafuta zilikopotelea.
hahaha! amna mkuu kawaida tu.inategemea alivyodeep hicho kidude na kasubiria kwa muda gani!! we unaonekana ni wa huko wanakopimia hizo mambo.
pole mkuu nimelegeza mbavu zako.Hahahahaha! Mbavu zangu mie
Kweli tena hearly we cheki vzr kwa juujuu utaona kituhahaa acha kumtia Jakamoyo Aisee
Mkuu ananiambia hazioni siku zake...Mkuu kusoma haujui si kuna maelezo kabisa ya picha na maneno
Hakuna mimba punguza wasiwasi
@Mr. Django ikiwa ndo hivyo namuacha mazimaaa...Anakuibia tu! Hamna mimba hapo
Me jembe man nimejazaaHahahaha wamekujaza?
Yaan we ndo mwenyee penyee msichana...Hamna mimba.
Mpaka vimstari viwe viwili ndiyo mimba ipo.
Saaaf... Nimepata matumaini mkuuHamna mimba mzee baba kitu kimesoma control hcho..
Daahh 3 days b4 cjakutatana nae alitoka kubleedAna wasiwasi sana,.ila mbona kama ipo vile tena ya siku mbili...[emoji16]
mmh mbona mstari mwingine huo mimi sijauona au ndio uzee unaniandama !!!?Kweli tena hearly we cheki vzr kwa juujuu utaona kitu
Kimoja hakija kolea vizur ila tangu nimekutana nae 4 weeks zimepita na alikuwa katoka kubleed last 4 dayzNaona km kuna mistari miwili ila kimoja hakijakolea, km ni kweli vipo viwili basi jiandae kulea.
So cku mbili alinambia kajipima last week Leo me nampima inaonesha ivoAna wasiwasi sana,.ila mbona kama ipo vile tena ya siku mbili...[emoji16]