Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Midozenj01

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
410
Reaction score
400
Refer to pic below then naomba mnishauri ma expert kwa majibu hayo mimba ipo....
Nna tempa balaa wakuu...
Nawasilisha
1539425454487.jpeg
 
Punguza munkari mkuu ,ongea tu na mwenzio ila hapo kama hamna mimba vile
 
Sasa ushauri wa nini Mzee mama/baba?
 
Hapo mimba hamna " huo mstari mwekundu unatakiwa uwe na mwenzie " I mean huwaga inakuwa miwili
 
Back
Top Bottom