Ushauri wako utanisaidia kujenga future yangu

mkwawa1

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
58
Reaction score
16
Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili. Nimekuwa ktk mahusiano na msichana flan kwa kama miaka miwili sasa. Nampenda sana maana anaonekana mwenye akili ya kutafuta na anajielewa pia.

Mwaka jana tulipanga tuanze kutunza kiasi kidogo kidogo cha pesa kila semista(boom) maana wote tunapata (maana nipo 3rd year na yeye 2nd year) lengo la kutunza pesa ni kuwa pindi nikimaliza masomo niwe na chochote cha kufanya kama vile biashara kuliko kutegemea kuajiriwa(bahati na sibu).

Ni kweli tumejitahidi kujibana mpaka sasa kipo kias cha kuridhisha angalau. Tatizo liko sehem1 tu, mimi situmii pombe/kilevi chochote na wala sivuti sigara/bangi nk. furaha yangu ni kugegedana tu hasa pale ninapokuwa na mtu ninae mpenda.

Ila yeye kugegedana hapendi kabisa. Tunaweza kukaa hata miezi miwili nikimwuita room anakuja, na romance anakubali ila kugegedana hataki kabisa. Hii hali inanipa taabu sana kiasi kwamba napata mawazo ya: either nimuache maana nahisi hata nikija kumuoa atanisumbua kwa hilo or nitafute mchepuko maana haniridhishi kabisa.

Sipendi kumuacha maana bado nampenda coz ana plan nzuri kimaisha ila najikuta mawazo yananijaa sababu kuu ikiwa ni hyo nloitaja hapo juu.

Ushauri wenu ni muhim sana kwangu wadau,

Nawasilisha.
 
mwili wa mwanamke una phase nyingi sana kadri anavyokua
hawezi kuwa hivyo milele.....atafikia wakati atakusumbua wewe kwa sex hasa mkishaoana
so for now vumilia kama umeshajua anakufaa kama mke...
baadae atapenda sex hata kukuzidi....body changes ni guarantee
 
Imenenwa usizini sasa mkuu unataka upewe ushauri ulio kinyume na maadili anyway subiri wadau wanakuja .

Ushauri wangu acha zinaa mpaka ufunge ndoa kwani aliyekuumba hapendezwi na hayo.
 
Mkuu bila kuficha au kujidai mwema hapa..ukiweza piga chini..mwanamke anaye kupenda hawezi akakunyima mzigo..hakupendi huyo mkuu..
 

asante kwa ushaur wako mkuu,nimekuelewa vema
 
Imenenwa usizini sasa mkuu unataka upewe ushauri ulio kinyume na maadili anyway subiri wadau wanakuja .

Ushauri wangu acha zinaa mpaka ufunge ndoa kwani aliyekuumba hapendezwi na hayo.




mmhhhhhh!!!! hilo nalo neno
 
Nadhan anajua mkigegedana sana utamzoea alafu utamchoka alafu mtaachana alafu hizo savings itakuwa hakuna maana tena.
Tafuta mwingine wa kugegeda huyo mweke pending,
she is a wife material, ogopa manzi anapenda sana ngono,
Au labda anakazwa na raia mwingine,
Chunguza chukua hatua
 
Hapo room unapomuita ni hostel au umepanga??....mana kama ni hapo chuo aiseee sitakuelewa,penzi linataka utulivu ndo mana anagoma
 
mhhhhhhhh usimwache kwa sababu hiyo haina mashiko na ukitafuta mchepuko kumbuka wewe tu ndo uko negative usiongozwe na mihemko
 
Ushauri ni kitu mtu anaomba pale anapofahamu nini cha kufanya.
 
Mkuu kwahiyo unataka kuniambia yeye kila akija anataka kufanya reconcilliation ya expenditure na savings tu? Huyo lazima awe mchaga.
Cc: miss chagga saidia huku
 


kwakweli nimejarib kumchunguza sana,sijaona kama kuna raia anaemkaza.nitazid kumchunguza zaidi.asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi.
 
Hapo room unapomuita ni hostel au umepanga??....mana kama ni hapo chuo aiseee sitakuelewa,penzi linataka utulivu ndo mana anagoma



wote tupo hostel,japo hakuna muingiliano wa watu wengi sana.
 
mhhhhhhhh usimwache kwa sababu hiyo haina mashiko na ukitafuta mchepuko kumbuka wewe tu ndo uko negative usiongozwe na mihemko



nimekupata miss neddy,hebu nijaribu kuendana nae japo....
 
Mkuu kwahiyo unataka kuniambia yeye kila akija anataka kufanya reconcilliation ya expenditure na savings tu? Huyo lazima awe mchaga.
Cc: miss chagga saidia huku



mkuu,kwa mambo mengine mbali na sex,hakika she is good.sex anatoa ila ndio hvo,anaweza asinipe hata ikapita miez miwili as i said b4!
 
Chagua moja ....yuko hivyo na sithani km atabalika ...tatizo hilo,nna experience ya hiyo hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…