Ushauri wako unahitajika...

look..zaman alikua analalamika si act lyk a wife material kind of a girl..nikabadilika..nikawa nafanya kila kitu ambacho mwanamke anafanya yaan kama kanioa vile,napika,nafua,napiga pas,nasafisha nyumba..everything...yaan,kama nikuchange,nilichange totaly ikafkia hatua di marafk zangu ambao yy alikua akisema wataniharibu nikapungza ukaribu nao..just to make him happy..bt ndo ivo..natukanwa..sn..adi wakat mwngne ashawah kuntukania mama yangu..nilimshtaki kwa rafiki yake wanaeheshimiana sn,..haku apologize.

Ila alichosema ni kua i made him do dat..ni vitu ving sn,..ni vng..n b4 nilikua msiri sn,,,hakuna alojua rltshp yangu ilikua na tatzo ata kidogo..baadh ya marafiki wallichukulia kama rltshp ya mfano..bt vitu vilipoanza kuzid ndo nikawa nashrikisha marafk zake+ zangu..lakin,haijasaisia..matusi kwake ni mtindo mmoja..yoote makubwa kwa madogo..na wakat tunakutana mm ata neno ''pumbavu'' mjinga nilikua nikitukanwa nalia sn..ss hayo niliyoyaorodhesha uko juu ndo ya mara kwa mara..naumizwa sn
 
nilitaman iwe ivo..dats 2b honest

Mimisa ,Ulitamani iwe hivo lakini kwa kua imeshashindikana usilazimishe my dear utaumia sana badae, wapo wanawake wengi walionga'ang'ania wanaume wakawaoa leo hii wanalia nakujuta, wewe, you still have time to make decisions , usiiangalia sana hio miaka 5 uliopoteza nae, its nothing ukilinganisha na mateso atakayokupa huyu mwanaume wako hapo mbeleni.
 
asante sn..asante..may God help me
 

siungi mkono hoja hujaniwowa nianze kuomba ruhusa esp kwenye serious matters kama hiyo ya wagonjwa mfn nimeomba hyo ruhusa umenikatalia unadhani ntakusikiliza,huku kwingine ni kuendekezena bhana hayo sio mapenzi bali kupelekeshana ukizingatia ni mchumba tu damu ni nzito kuliko maji akuh!!!!!!!!!!!!!!!
 
hajawah omba msamaha..uwa ana nyamaza na ku pretend nothing happened..nikimkumbusha anasema he is a man..n he shu protect manhood dignity
 
asante sn kwa ushauri
Dah!we sisteri embu chukua chako uondoke bhana kwani mwanaume peke e yake hapo tu matusi anakupa bado ajakuoa na kukuletea mke mwingine na kipigo juu,unamgandaaa kama rubaa
 
n dat day nilikaa hsptl adi saa 2 usiku..nilikua nam update kila kinachendelea..bt msimamo wake ulikua huo huo
 

Unaweza ukahisi kwamba wanaokuambia usiendelee na hiyo relationship wanakupotosha. Lkn believe me hamna kitu kibaya kama kusema "I wish I knew". Yeye ashakuona desperado na ndio maana anakufanyia vituko.

Kwa kweli mwanamume anayempiga mwanamke hafai na cku moja atakupa kilema au kukuua. All for what? Hao hawabadiliki. Na maelezo yako nilivyoyasoma, its like one loser I knew. Huyu mpe TKO(Technical Knock Out) and move on fast.

Learn to define yourself as you not as someone's this and that. Ukijipenda utamuacha na utakuwa happy and you will ask yourself why you waited so long.
 
thank u swty!
 
n dat day nilikaa hsptl adi saa 2 usiku..nilikua nam update kila kinachendelea..bt msimamo wake ulikua huo huo

sasa huyo akikuwowa ujue hata ndugu zako wakipata tatizo hupeleki pua yako huko,watu wengine ni wabinafsi sana hata hiyo ajira nahisi utapigwa stop ili kiherehere kiishe ukalishe mbaliga nyumbani,shtuka manzi ww
 

Katika akili yako unafikiria mwenye makosa ni mwanaume tu kwa sababu umepata kusikia upande wa mwanamke. Ingekuwa vizuri ukapata na upande wa pili ili kumsaidia mhusika. Kama yeye ndo tatizo, basi ataendelea kumizwa na wanaume mbali mbali tu.

Mvumilivu hula mbivu na kuna wakati mambo yanakaa sawa kwenye ndoa. Wengi ndoa zimekaa vizuri baada ya muda furani wa mabonde.
 
wanaume wote duniani ni yeye tu hakuna mwingine utakaempenda?
mpende akupendae, ndoa haijaribiwi, alama za nyakati ushaziona kitambo.
wasubiri nini tena?

Timka dada acha kungangania.
 

Kushirikishana na wala siyo kumpelekeshana. Matatizo ya kwenye ndoa mengi ni ya kisaikolojia kama hiyo unayoisema. Sijasema kuomba ruhusa, kushirikishana. Yaani mpenzi unasimu yenye vocha na chaji muda wote, nisikie upo Arusha, mara Mbeya bila kushirikishana hata kama ni matatizo, nitaona unaubinafsi mkubwa na hujali upande wa pili. Kwa sababu hiyo, nikikuleta ndani utakuwa unafanya mambo yako kwa kujiamini. Kwa kuongezea tu upeo wa wanawake wengi ni mdogo sana kwa hiyo mara nyingi huishi kwenye matatizo.


Kwa kifupi ni kuchagua kuwa na migogoro au la ikiwa kuwa wawazi au kufichana.
 

hicho unachopitia kilishawahi kunitokea design hiyo hiyo..manzi alinigandaga kama luba na vitu kama hivyo nilikua namzingua tuachane na vitu kama hivyo mixa matusi nin yani kama hayo unayo experience..coming to the point huyo jamaa hakupendi..ukimpenda mtu amin huwezi mtukana hata kidogo..manzi alivumilia baadae akachoka..ila kilichomchosha sana kwangu mim ni kila akipiga mzinga jemedari nilikua napangua..na sijawahi mpa chochote kile..ingawa care, makila kitu alikua akishow, 4n saa 12 asubuhi, mara tano tano nk..tishia sna kumuacha manzi bembeleza sana..mwishoni akachoka..

Kwavile kidume nikampga saund akarudi lkn hakua kama mwanzon so design alikua anapoz poz kidume nkaona iciwe shida..nikakausha..na nimefanikiwa kumtoa moyon ingawa affections zilikua kubwa..sio love bali affections..sasa ni hivi jamaa hawezi anza kukuita maaya tu from nowhere nauhakika umeonesha elements za ukicheche au umalaya mf..kuchat chat na wana wengine,simu kuweka pasword,kuongea ongea na simu na watu wengine night, kuzima zima simu,kutopokea kwa wakati kupretend uko bize sna..etc..ndo mana anakuita hivyo so ni bira uje clean useme wewe unazingua wapi sio kila kitu..wanaume tu mnablame..ila uwezo wa kumove on unao..wewe..fanya haya..kwanza shukuru umepata chance ya kujifunza mengi toka kwa huyo jamaa...pia chukulia kama experience ya kua girlfriend au mke bora huko mbeleni..jinsi unavyong'ang'ania ndo unavyojikosesha chances za kuishi kwa furaha zaidi..so jiulize haya..how can i get over him, how can i be happy, how can i be better,..etc..ila usijiulize why, he z doing this to me, why he doesnt love me anymore..coz majority ya why qns hayanaga majibu..etc..amini hivyo HALAFU MWANAMKE..eeeeh?

SIO KILA MWANAUME ANAYEKUTOA BIKRA NI LAZIMA AKUOE...CHUKULIA KAMA EXPERIENCE YA KUA DEMU BORA AU MKE BORA MBELENI..OVER..en out..namkumbukaga huyo manzi lakini nimwmoove on na am happy for real so U'LL ALSO BE HAPPY WOMAN....
 
he said,imani inamruhusu kunipga stop akiona kuna uhtaji wa kufanya ivo..na uwa tuangombana smytmz ananiambia inanipa kiburi..
sasa huyo akikuwowa ujue hata ndugu zako wakipata tatizo hupeleki pua yako huko,watu wengine ni wabinafsi sana hata hiyo ajira nahisi utapigwa stop ili kiherehere kiishe ukalishe mbaliga nyumbani,shtuka manzi ww
 
mimisa;sing'ang'anii anioe..nilitaman 2oane kwa kua twos my drm..

Eeh!hiyo drm yako kwa huyo mwanaume anaekupa mitusi haitokuja true ng'oooo!
Tafuta mwingine 2nakupa ushauri tena tafuta mwingine huyo hakutaki:ni mtazamo tu
 
Kimbia na usigeuke nyuma...............utakuwa km anavyokutusi!!

Pole sana!! najua inataka moyo coz umewekeza sana kwake.................muda, mapenzi, fedha, bi.ki.ra yako, attitude............ila sin this last sin.......kimbia, japo inauma lakn pale haupo salama yaani jamaa, ndg, marafk ndio nguzo ya mapenzi yenu??!!..............this is a dangerous catastrophe in love affairs!!!!
Time will tell!!
 
thanx much....napenda sn kuchat..na kama tatzo ni simu,tushazungumzia ilo na kwa upande huo hajacomplain chochote tna,,tnx kwa ushauri
 

sio kila kitu lazima uombe ruhusa mfn huyo bwana anamlazimisha aende wakasolve tatizo asiende home kuwaona wagonjwa khaa angekuwa ni yeye angekubali au ndo mfumo ubeberu unaomsumbua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…