Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Ukweli ni kuwa ukilazimisha unaweza kuja kujuta, huyo jamaa hakutaki anakutukana yote hayo ili umuache wewe umekomaa tu. shauri yako.nilivoandika ni kweli tupu,na sio vyote nimeviweka apo...na kweli pengne maadili ya ndoa kua tofauti inachangia..pengne mi nawaz penzi la milele wakat mwenzangu anawaza vingnevo
Usijali Mungu si Erickb52Mungu anisaidie..cos maumiv ya mapenz ndo nayaona ss..
hapo kwenye red, ndio utakuwa unamchefua, kakuta kitu old bagamoyo road then leo renovation unaita new mwai kibaki roadnimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa dini..niko tayar kumfata dini yake lakin wazaz wangu hawatak ata kuskia..na wameshaanza kutamka maneno mazito juu yangu...KINACHONIUMIZA NI HIKI..ana hasira mbya sn...na akikasirika ananiambia maneno ambayo hua yananiumiza..ananitukana matuc lyk mm choko,tikiti,kiazi,mbulula,mothr f**k n so many more,na majuzi kaanza kuniambia mm malaya..mara nyng jua tunagombana ananitishia kuniacha nina beg 4 4gvnes +kuwashrikisha marafiki zangu na zake mpaka tunarudiana tena..ss iko kitendo cha ku beg kua nae ss anakichukulia kama fimbo ya kuniumizia..maana majuzi alinitamkia '' this tym nakuacha na hata ukusanye kila kiumbe kuni beg sitakurudia''..inaniuma sn..kinachoniumiza zaid ni matusi,ananishusha thamani kwa matuc yake...ananiambia nimechange nimekua malaya n I swear to d almight God,,sijawah ata kukaribia kua na mahusiano na mwingne zaid yake yy + he is my 1st man....naombeni ushauri kwa hali hii nifanyeje?..nampenda sn lakin ndoa hii ata nikiifunga nitakua na furaha nae kweli?,,,am so confused...nisaidieni kimawazo:sad:
Kwa nini anakutukana? Acha kuleta sababu za upande mmmoja na kwa members wengi ni kama wewe, wanajitia Upilato bila kuangalia upande wa pili. Yawezekana unamatatizo wewe au yeye? Lakini kuzungumza na kujirekebisha ni kitu cha msingi sana. Wanaume tunafanan sana kwa hili katika wanawake ila wanawake wanafikiria wanachukiwa. Hakuna mwanaume anayeweza kuwa na wewe halafu akuchukie. Toa sababu zaidi za hayo matusi.
Acha kumpotosha, ndoa gani ya mateso hiyo?, kwanza samahani hiyo sio ndoa, bado uchumba tu kwanini mtoto wa watu ateseke hivyo? Wewe mwanamke unaemthamini ulishawahi kumtukana mother nini sijui!, ulishawahi?Hapa JF wengi ni wapotoshaji tu katika mahusiano/ndoa. Wengi wanaugulia chinichini ila kwa kujua umuhimu wa ndoa ndo maana wapo ndani. Badilika wewe na yeye atabadilika na ukimuacha basi utamaliza wanaume.
anaudhi bwana! jamaa hamtaki si aondoke tu?Smile ​nimecheka sana, mwenzio anaomba ushauri anatukanwa halafu wewe unamtukana matusi yaleyale tena?, hii noma.
Huyu mdada ukisoma post zake ana maumivu kwelikweli, sijui kwa nini wadada 1st men huwa mnawang'ang'ania sana, kikubwa hapa mpeni mbinu, kama wata break up afanyeje kujisahaulisha.anaudhi bwana! jamaa hamtaki si aondoke tu?
najijua am a human being,sijakamilika mm pia hukosea....bt mfano...majuzi nilipata simu frm hm wakinijulisha kua kuna tatzo niombe ruhusa job niwah hom,sth dat i dd,wakat niko njian ndani ya bus akanitext niende kwake tuka discuss juu ya jambo ambalo hatukuelewana some days ago,nikamjibu sitoweza hom kuna shda na nimepigiwa simu..akawa ana insist niende tu na nisipoenda nijue we gat nothng btn us anymor..means ts over...i got hm na kulikua na wagonjwa wawili,mtu mzima na mtt walikua siriazly sik ikabdi niwachukue kuwapeleka Hspt,nilimuambia situation ilivo bt msimamo wake ukawa pale pale..nisipoenda nisiende tena kwake au nikienda iwe kwenda kuchukua vitu vyangu..na matusi mengne ss niliyoyaorodhesha apo juu yakaanza kutiririka..
Kama kweli unampenda na kumheshimu, ulitakiwa umshirikishe na yeye kuhusu taarifa za kuitwa nyumbani na kushauriana naye nini cha kufanya. Tatizo wanawake mnafanya mambo kimya kimya mpaka mwanaume anapokutafuta, unamwambia nilifanya/nafanya kitu fulani. Hiyo ni taarifa tu? Yawezekana yeye anakujulisha mambo mengi kwa kuconsider nafasi yako kwake. Inapotokea unafanya bila kumshirikisha, anaona kama hum-consider kabisa. Hii huleta kufikiria unamdharau, umebadilika na mambo mengine mengi. Si unajua tena mwanaume ndo vichwa vya nyumba?
Kwa kufanya mambo kimya kimya, ukiongezea na upeo mdogo wa wanawake wengi hupelekea hasara/madhara baadaye ambayo hujulikana kwa mume wake na kumchukiza sana. Hapo ndipo mwanaume humdharau sana mke wake na kumwona kama msaliti na asiyempatia nafasi katika maisha yao. Mfano, wanachama wengi wa ile iliyokuwa DECI walikuwa wanawake/wake za watu. Walijiunga kimya kimya bila kuwashirikisha waume zao kwa kufikiria wana akiri sana. Unakumbuka matokeo yake? Nakuhakikishia hakuna mwanume kamili anayeweza kumrushu mke wake kuingia kwenye DECI labda mwanume suruali tu.
Kwa kifupi mshirikishe mwanaume wako ajione ni sehemu yake wewe.
Nimekufatilia sana mada yako hapo juu na comment zako!! Ukweli katika mapenzi kuna point ikifika ni vigumu kujinasua!! Alichokifanya kwako kwa mtu mwingine hata mada asingeileta hapa kwa ushauri angenawa tu basi!! Hapo hakuna real love zaidi ya mazoea tu!! Matusi dharau ni sumu sana kwa maisha ya ndoa ambayo unayahitaji!! Kubadilisha Dini sio swala na wazazi wako wanakataa ila kwa msukumo wa penzi unadiriki kufanya hivo! Hicho ni kitanzi unajivisha, mie ningekushauri jipe mazoezi ya kufuta hilo penzi kwani baada ya ndoa hautakaa miaka mitano mbele maana huyo jamaa ameshajua wewe ni dhaifu kwake na akisha kubadilisha Dini vingi vitakushika!!