Ushauri wako unahitajika...

Ushauri wako unahitajika...

mimisa

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,511
Reaction score
1,441
Nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa dini..niko tayar kumfata dini yake lakin wazaz wangu hawatak ata kuskia..na wameshaanza kutamka maneno mazito juu yangu...

KINACHONIUMIZA NI HIKI..ana hasira mbya sn...na akikasirika ananiambia maneno ambayo hua yananiumiza..ananitukana matuc lyk mm choko, tikiti, kiazi, mbulula,mothr f**k n so many more,na majuzi kaanza kuniambia mm malaya..mara nyng jua tunagombana ananitishia kuniacha nina beg 4 4gvnes +kuwashrikisha marafiki zangu na zake mpaka tunarudiana tena..ss iko kitendo cha ku beg kua nae ss anakichukulia kama fimbo ya kuniumizia..maana majuzi alinitamkia '' this tym nakuacha na hata ukusanye kila kiumbe kuni beg sitakurudia''..inaniuma sn..

Kinachoniumiza zaid ni matusi,ananishusha thamani kwa matuc yake...ananiambia nimechange nimekua malaya n I swear to d almight God,,sijawah ata kukaribia kua na mahusiano na mwingne zaid yake yy + he is my 1st man....naombeni ushauri kwa hali hii nifanyeje?..nampenda sn lakin ndoa hii ata nikiifunga nitakua na furaha nae kweli?,,,am so confused...nisaidieni kimawazo:sad:
 
Ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu, una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?

Achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada, utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe
 
Kweli wewe unaweza ukawa choko kwani yeye ni jalala na hakuoni ukiisha kung'ang'ania kwake,so ondoka jalalani to prove that you are not a choko but chocolate.
 
asante kwa ushauri wako
ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?
achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe
 
Najua sio kosa lako, so kwanza nakupa pole.

Pili ushauri wangu kwako ni kuachana na huyo mtu kwa sababu kubwa moja tu, HAKUPENDI! Dalili za kutokukupenda ni hayo matusi na manyanyaso akupayo! Life is all about happiness, find hapiness kwa kuwa na mtu anaekupenda na wewe unampenda. ACHANA NAE, HE IS JUST WASTING YOUR TIME ALAAAA!!!!
 
mwanaume sio ndugu yako shosti kimbia hapo sio?
 
asante...akiwa calm husema ananipenda na hufanya vitu ving kuonyesha ananipenda..bt baadae,ayo matuc ss,n he never apologizez claiming he has dat manhood dignity he wont lose 4 a woman hadi anakufa..it kills me
Najua sio kosa lako, so kwanza nakupa pole.

Pili ushauri wangu kwako ni kuachana na huyo mtu kwa sababu kubwa moja tu, HAKUPENDI! Dalili za kutokukupenda ni hayo matusi na manyanyaso akupayo! Life is all about happiness, find hapiness kwa kuwa na mtu anaekupenda na wewe unampenda. ACHANA NAE, HE IS JUST WASTING YOUR TIME ALAAAA!!!!
 
Achana nae kwani haoni umuhimu wako.

Babu
Dark City, FP na Elli njoo mumsaidie huyu kiumbe.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?
achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe
Uko sahihi Smile
 
Last edited by a moderator:
Pole sana.Huna thamani kwake..Hizo ni ishara tu.Na waislamu wanavyooa wake wengi na talaka nje nje mbona utakoma ukiingia kwenye hiyo ndoa..
Huyo siyo wako.Ushapoteza miaka mitano so chukua hatua haraka.
 
nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa dini..niko tayar kumfata dini yake lakin wazaz wangu hawatak ata kuskia..na wameshaanza kutamka maneno mazito juu yangu...KINACHONIUMIZA NI HIKI..ana hasira mbya sn...na akikasirika ananiambia maneno ambayo hua yananiumiza..ananitukana matuc lyk mm choko,tikiti,kiazi,mbulula,mothr f**k n so many more,na majuzi kaanza kuniambia mm malaya..mara nyng jua tunagombana ananitishia kuniacha nina beg 4 4gvnes +kuwashrikisha marafiki zangu na zake mpaka tunarudiana tena..ss iko kitendo cha ku beg kua nae ss anakichukulia kama fimbo ya kuniumizia..maana majuzi alinitamkia '' this tym nakuacha na hata ukusanye kila kiumbe kuni beg sitakurudia''..inaniuma sn..kinachoniumiza zaid ni matusi,ananishusha thamani kwa matuc yake...ananiambia nimechange nimekua malaya n I swear to d almight God,,sijawah ata kukaribia kua na mahusiano na mwingne zaid yake yy + he is my 1st man....naombeni ushauri kwa hali hii nifanyeje?..nampenda sn lakin ndoa hii ata nikiifunga nitakua na furaha nae kweli?,,,am so confused...nisaidieni kimawazo:sad:

Kwa nini anakutukana? Acha kuleta sababu za upande mmmoja na kwa members wengi ni kama wewe, wanajitia Upilato bila kuangalia upande wa pili. Yawezekana unamatatizo wewe au yeye? Lakini kuzungumza na kujirekebisha ni kitu cha msingi sana.

Wanaume tunafanan sana kwa hili katika wanawake ila wanawake wanafikiria wanachukiwa. Hakuna mwanaume anayeweza kuwa na wewe halafu akuchukie. Toa sababu zaidi za hayo matusi.
 
ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?
achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe

lol:smile-big::smile-big:
 
asiyesikia la mkuu......
 
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..

Kumuacha unaweza sana, ni kujipa moyo na kuwa jasiri unaweza sana tena im telling you mwezi mmoja tu mbona unamsahau?Achana nae, mpende akupendae asokupenda achana nae, tena dini yake yenyewe ni nanihii, loooohhhh!!

Kimbia tena huku umevua viatu maana ukijiloga ubebe:mimba:imekula kwakoooo!
 
Shosti,pole lakini unajishusha sana kwa huyo bwana ebu nikulize anakupa nini ambacho unahisi ukitoka kwake kwengine huwezi pata? Sababu asikufanye tambaa la dekii huyo keshakuchoka na akufukuzae hakwambi toka,kwanza matusi na mapenzi hata haviendani na sijui unakua nae vipi faragha na ukafurahi sababu ningekua basi nikikumbuka Yale maudhi hamu pia huishaa,sasa shosti jipange tena usisubiri akutukane ndio uondoke jikaze kike bwana aende kwa wendawazimu wenzie hakustahili wewe.

Mungu atakupa mwenye kheir na wewe rudii nyumbani omba msamaha wazee dua zao kwako nimuhimu sana...achana na huyo -----..
 
Back
Top Bottom