Ushauri wako tafadhari..

rajiih

JF-Expert Member
Apr 4, 2019
477
712
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, Hapo awali nilijiapiza kua nataka kuja kua mmoja wa wafanyabiashara mashuhuri katika jamii yangu husika lakin mpaka sasa nashindwa kufanya maamuzi sahihi ni biashara ipi itakua bora kwangu, Na kingine kila nikiweka akiba yangu kwa ajili ya kuanzisha biashara yangu najikuta naitumia kulingana na shida ambazo zinaingiliana wakati nikijiwekea akiba yangu. Msaada kwa waliofanikiwa katika biashara tafadhari....
 
Anza na biashara ndogo kwanza huku ukikua,mfano: kubrashi viatu,kuuza karanga n.k
 
Back
Top Bottom