Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Hello jf,
Nakuombeni ushauri wa haraka sababu hii shughuli nataka kuifanya muda huu, kuna jamaa anakunywa sana pombe sasa nikaambiwa nimpe mafuta ya nguruwe wakati amelewa ataacha kabisa.
Sasa sidhani kama ni kweli wenye taarifa zaidi jamani.