Talking about it is a good start.
Not liking the new you is also good.
You should also be grateful that una watu wanakuombea.
Sasa pamoja na kufunga na kuomba wewe mwenyewe tafuta na maximize on mazuri yaliyofanywa na wanawake wengine. Look for positive influence kama Uzi wa gfsonwin wa kummiss mumewe; avoid negative influence thread zinazosema kuhusu usaliti wetu.
Mrembo mie niko Poa sana Nyalotsi,
hofu kwako.
Bora ujifanyie zako mazoezi mwaya.....kupata mwenza ni matokeo.
matokeo mengine ni magumu loh! Unaweza jiamini kwamba umefaulu aafu necta wanafuta kwamba uliibia majibu. Usishangae kuona wanaookota makopo barabarani, thanks God our genetic make up are different. Otherwise mwanzoni hali ilikuwa ngumu.
Nilikuwa na mchumba ambaye nilimtambulisha hata kwa ndugu zangu(dada). Lakini baadaye alikuja kunigeuka bila kunieleza sababu ya kufanya hivyo. Alinitumia tu msg kunitaarifu kwamba anaolewa na mtu mwingine baada ya muda mrefu wa kukaa kimya bila mawasiliano kwani alikuwa mbali nami. Iliniumiza sana kwani nilimpenda na sikutegemea kufanyiwa hivyo na yeye. Huyo ni wa pili baada ya wa kwanza kuniambia nina muda mrefu na shule hivyo hawezi kunisubiri. Imepita kama miaka saba kati ya hivi visa viwili na kati niliwahi kuwa na mtu mwingine ila niliachana naye baada ya kutofautiana msimamo. Toka huyo dada wa tukio la karibuni kunifanyia hivyo nimejikuta nakuwa tofauti na nilivyokuwa mwanzo kwani nimepoteza kabisa interest na wanawake na hata kufikia kuwatukana ovyo. Hata wale niliozoeana nao kabla siku hizi wananiogopa hata kunitania. Yaani nimekuwa mtu ambaye kila mtu ananishangaa. Hali imekuwa mbaya zaidi kwani hata dada zangu natofautiana nao kauli bila sababu na kuanza kuwafokea. Wengine wameanza kukesha kwenye maombi kuniombea. Nimejitahidi kupambana na hii hali lakini dah, hali ngumu na siipendi kwa kweli. Naombeni ushauri nifanyaje ili nirudi kawaida?
Watu8 nashukuru kwa ushauri wako. I have been fighting with the situation for months now. Nataka kuwa kwenye mood ya kawaida ndo maana naomba ushauri kwa wenzangu jamvini. Kinachonitisha zaidi ni ile kuwachukia hata dada zangu na kuwajibu ovyo.
Umeona ee!
Tulia na utafakari.
Wapi ulipokosea ili hata ukimpata mwenza ajae, ufukie ma-gap.
trust me,kuingia jamii forum pia ni dawa.humu peke yake kuna vituko vyake.kuhusu suala la mapenzi wapo wanawake wametendwa kuliko wewe,na wakasema maneno kuwa hawatopenda tena.matokeo yake,wamependa na wako happy katika relationship zao.kwa upande wako,amini ya kuwa sio wanawake wote wako hivyo.ondoa kinyongo katika moyo wako,utakuja kumpata tu na utakuja kuwa na furaha tu