Ushauri wako ni upi kwa hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wako ni upi kwa hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Oct 21, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mwana JF,
  Unatoa ushauri gani kwa hawa watu waliojihalalishia nyumba za serikali??endapo serikali nyingine itaingia madarakani kutoka nje ya CCM??na wakati wameishashusha maghorofa??
  Je hiyo serikali ifanyeje kwa watu waliohalalisha na waliojihalalishia!
  Je wakipokonywa hizo nyumba je Patatawalika je amani tunayoiimba kila siku itatawala??au ndo kutoweka kwa amani??.
   
Loading...