Elongolongo
Member
- Oct 29, 2023
- 23
- 26
Somea hapo mwanangu ata fundi bomba au filter mechanicalMimi ni kijana wa kiume, nina miaka 19, Nilimaliza kidato cha nne mwaka Jana, lakini matokeo yangu hayakuwa mazuri.. nilipata div 4 ya point 33. Lakini baada ya kumaliza shule nilienda Veta nikasoma udereva, na nina cheti cha udereva pamoja na leseni daraja D. Ila sasa nina mpango wa kurudi Veta kusoma tena ila naomba kupata ushauri ni kozi gani ambayo itakuwa nzuri na ambayo utaniwezesha kujiajiri au kuhajiriwa kwa ajili ya maisha yangu ya baadae? Naomba ushauri tafadhali.
Nipo Kigoma mkuuupo mkoa gani?
Asante mkuuKaombe kusomea udereva NIT karibu taasisi nyingi zinazotafuta madereva wanasisitiza aliepitia hiki chuo.
Kama unaupenda udereva basi ujuzi wako uwe udereva.mwwnyewe utachagua
Asante kwa ushauriTafuta sehemu ufanyie kwanza kazi hiyo fani yako ya Udereva upate uzoefu kwanza siyo unadandia dandia vingine wakati vya awali venyewe hujamaliza
Asante kwa ushauri [emoji119][emoji119][emoji119]Hivi nyinyi vijana kilimo kiliwafanyia Nini?ingia shambani utaipata mali
kasome vocational nchini Rwanda.Nipo Kigoma mkuu
Asante kwa ushaurikasome vocational nchini Rwanda.