Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Kwanza kabisa ondoa neno shekh kisha weka jina la Mganga wa kienyeji, maana ndio zao kwa kutumia status Ushekhe kuficha ukweli kwamba wao ni waganga kama waganga wengine walivyo tu.piana yule sheikh akanambia sijui nna jini x sio mahaba ndo ananisumbua na huyo jini nimempata hapo hapo kumtaja fulani aliekuwa ananilea nndio tatizo ila,nikawa siamini na sitaki kuamini sasa yule sheikh alisema tatizo ni mzazi.
alonitbu swali la kwanza aliniuliza ndiyo usharudi kabsa nikamwambia bado,basi akacheka lkn baadae nilitafuta mganga mwengine nikaambiwa niwe mganga akanitibu ili niupate huo uganga maana maisha yalikuwa magumu mno lakini sikufanikiwa,zaidi kuota ndoto mbaya mara napandisha au kutibu n.k ila basi nikarudi.
nilivyorudi mzazi akanielekeza na kunipeleka sehem X hapo nilifanyiwa dawa mpk leo holaaa,sasa kwa bahati mbaya mganga domo sijui limemshinda maana nilikuwa naenda wkt mwingi maana nilijua yeye ndio mwalimu wangu basi yule mganga,hiyo siku akanambia siri kuwa nisimwambie chochote nachotaka kufanya mzazi X na alinambia kuwa najua mzazi huyo ni muhimu ila usimwambie mambo yako na mpk leo maisha yamenipika na npo homeland na kila napotaka kuondoka najikuta mambo yanafeli.
Of course lazima hayo yatokee. Maaana hakuna kitu utakachokifanya kikaenda wakati ushaiabia akili yako kwamba unachezewa ili usifanikiwe. Hivyo hata zile pesa unazohonga,unazobet,unazokula mishikaki,unazonunua vocha daily, unazowapelekea waganga, Unazohifadhi vibaya kisha zinapotea utaona ni wachawi wanakuchezea ndio maana hazikai na biashara zako hazikui.sorry,kwa gazeti ila naomba ushauri wako,nifanyaje kufanikiwa ndoto zangu za kimaisha na najikwamuaje?maana nimefanya biashara zote za kujizalilisha pesa nayotaka sipati nishabeba mawe n.k,biashara nafanya leo kesho inaharibika coz lengo ni kufanikiwa ila nashindwa na kufeli kbs.
I wonderUme graduate chuo X lakini unaandika vibaya na story haieleweki.
Mdogo wangu wa standard two anakushinda.
actually each person anachokipaji ndani yake unaweza ukakuta kwenye maisha kuna mtu anaakili ya kufikiri ila writting hayupo vizuri si bishi nipo poor kwenye kukonekti dots ila bahati nzuri kufukiri nipo vizuri zaidi ndiyo maana hata mitume haiukupata kuandika vitabu vya maandiko ya kimungu zaidi walikuwa wanakariri na kuwaambia watu then later on wanazuoni walihakikisha mawazo yakusanywe sehemu mmoja sababu ya vizazi vijavyo.Ume graduate chuo X lakini unaandika vibaya na story haieleweki.
Mdogo wangu wa standard two anakushinda.
Usizimue utazimika.πππ[emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219]duuh ngoja nikazimue nirudi kusoma tena...
Kwanza kabisa ondoa neno shekh kisha weka jina la Mganga wa kienyeji, maana ndio zao kwa kutumia status Ushekhe kuficha ukweli kwamba wao ni waganga kama waganga wengine walivyo tu.
Pili, natumaini sehemu nilipoweka rangi nyekundu/bold unapaona. So let's roll.
Tatizo lako wewe lilikua ni tumbo tu kama ulivyoelezea ilitakiwa utibu tumbo either kwa kunywa mitishamba au dawa za pharmacy. Uliharibu ulipoweka fikra kwamba unaweza kua umerogwa au kuna ushirikina unaofanyika juu yako.
Mambo yaliharibika zaidi ulipoenda kwa Mganga, Ukishaenda kwa Mganga Lazima akuambie umerogwa maana wewe hadi umefika kwake unakua unaamini umerogwa so anachokifanya ni kukupa majibu yale unayotaka wewe kusikia.
Sikatai kuna Uchawi duniani ila tambua tu uchawi upo zaidi kiakili kuliko physically....... Waganga wote hufanya kazi zao kwa kufuata patterns za matukio common yanayotutokea kila siku ndio maana waganga wote husema umerogwa na watu wako wa karibu coz hawawezi kukisia/kusema watu ambao hawapo kwenye circle ya Maisha yako. (Angalia unatajiwa kua waliokuroga ni watu unaoishi nao) That's it.
Waganga wamekujaza hofu na kuikuza ile hofu/imani ya kurogwa uliyokua nayo na ndio maana yote hayo yanakutokea. Hujarogwa. Dunia inaendeshwa kwa misingi ya Hofu/kuogopeshana ndio maana tunaambiwa tutachomwa moto tusipofanya so and so but that's just a Faith built on Fear.
Waganga na wachawi wote they feed from your fear unapoogopa mchawi basi ndio anakufanyia vitimbwi. Hofu ni imani. Imani yako inaweza kukuponya au kukuangamiza. Ukishahofu kua umerogwa na ukaamini hivyo basi utaanza kuona magonjwa ya ajabu yanakutokea na ukinywa dawa za hospital huponi ng'o coz tatizo halipo mwilini bali lipo akilini.
Wake up pal, Hujarogwa wala huna shida yoyote wewe unaumwa tumbo tu
Of course lazima hayo yatokee. Maaana hakuna kitu utakachokifanya kikaenda wakati ushaiabia akili yako kwamba unachezewa ili usifanikiwe. Hivyo hata zile pesa unazohonga,unazobet,unazokula mishikaki,unazonunua vocha daily, unazowapelekea waganga, Unazohifadhi vibaya kisha zinapotea utaona ni wachawi wanakuchezea ndio maana hazikai na biashara zako hazikui.
Mate, tatizo lipo kichwani mwako wake Up. Hujarogwa na mama yako wala mjomba. Kaaa na Mungu wako kwa mujibu wa imani yako kisha muuleze matatizo yako na atakuvusha. Ondoa mentality ya kurogwa wewe una hofu tu. Ukiiondoa hiyo hayo magonjwa uliyonayo utapona.
You're creating your own demons, there's no a demon around you.

Duh! mipasho yote hii kama unaimba taarabu.Nonsense.
Unasema una degree.
Degree gani neno MUNGU unaliandika ukianza na small 'm'?
Mpaka hapo bado hujui "The eight parts of speech" hujui tofauti ya common noun, proper noun na abstract noun'
Kwendra kule, nyie ndio mnaharibu sifa nzuri ya wenye degree. Ok