Ushauri wako: Nataka nimchukulie mama watoto TOYOTA PORTE

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Wakuu Habari zenu, naomba ushauri kidogo juu ya hii gari, sina uzoefu nayo sana, Mama watoto ni mjamzito kwa hyo Nakusudia kumchukulia usafiri Nikaona Porte inaweza kumfaa..

Je gari hizi udhaifu wake hasa ni nini? Na je ni gari sahihi kwa matumizi ya familia? na vipi kuhusu upatkanaji wa spare parts??
 
Mkuu nakushauri mnunulie kitikuu na ngombe tatu za maziwa ,hutajuta tafutie kijana kutoka mikoani wasadainiane kwenye huo mradi !!! Utanikumbuka

Angekuomba ushauri wa aina hii.
 
Kwanza kwa mtazamo wangu nakuona mtoa mada ni mjanja wala haujakosea kuchagua porte ni gari mzuri sana kwa familiar kwanza ina nafasi kubwa sana ndani hata siti zake ziko poa na ni comfortable kuliko I.s.t.

Ulaji wa mafuta ni mdogo sana kama I.s.t nakushauri uchukue porte hautajuta pia kuhusu uimara yanafanana tu na I.s.t
 
Asante sana mkuu

Fuata ushauri huu hutajutia maamuzi.
Ni gari yenye injini ndogo lakini ni gari yenye nafasi ndani kuliko gari yoyote ya ukubwa wa injini kama hiyo.
 
Kwanza kwa mtazamo wangu nakuona mtoa mada ni mjanja wala haujakosea kuchagua porte ni gari mzuri sana kwa familiar kwanza ina nafasi kubwa sana ndani hata siti zake ziko poa na ni comfortable kuliko I.s.t.

Ulaji wa mafuta ni mdogo sana kama I.s.t nakushauri uchukue porte hautajuta pia kuhusu uimara yanafanana tu na I.s.t
Ni kweli kabisaa. .
Nunua tu wala hutajutaaa kila kitu kinapATIKANA
 
Back
Top Bottom