Kijana fanya mara hii kuwekea vipaumbele moja ama zote kwa pamoja kozi zifuatazo (i) BSc. Industrial Engineering Management au /na (iii) BSc. Productiona and Operations Management za chuo Mzumbe Chuo Kikuu.Nimetemwa first round
Nataka niendelee kusoma sayansi chuoni
Nimemaliza pcm nikiwa na DDE
Kama in mzoefu naomba nishauri
Kidogo ili niweze kuchaguliwa
Kama una idea ya faculty yoyote nili niweze kuangalia na chuo
Niweze kuapply vizuri kwa round hii
[HASHTAG]#nimewasilisha[/HASHTAG]
Asante
Nashukuru broKijana fanya mara hii kuwekea vipaumbele moja ama zote kwa pamoja kozi zifuatazo (i) BSc. Industrial Engineering Management au /na (iii) BSc. Productiona and Operations Management za chuo Mzumbe Chuo Kikuu.