Ushauri wajameni nipo njia panda.

Mtuhurumawazo

Senior Member
May 19, 2012
146
27
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 27, nina rafiki wangu wa kike ambae tunakula tunda pamoja mara kwa mara. Ila nilisafili mara moja kwenda kijijini kuwasalimia wazazi kwa muda wa wiki 2.abia so huku nyuma akaanza tabia ya kwenda club ambapo nilipokuwa pamoja nae hajawahi kwenda so nikiwa kijijin rafiki yangu akanipigia simu kuwa shemu ameenda club na na kakutana na mafirauni wamembaka. Nilipo rudi hataki tuonane na anajifungia andani muda wote so sijui la kufanya naomba ushauri wenu.
 
nashukuru manoah ila bint mwenyewe ameamua kujifungia ndani kwao na cio kawaida yake na hataki tuonane ndiyo kinachonifanya nihisi inawezekana ni kweli.
 
usipuuze habari lakini pia fanya research ujue ukweli. dont under estimate things/people many have died because of that including kamnada Burlow.
 
Inawezekana kabisa kapata depression, huko kujifungia ndani si dalili njema sana,wasiliana nae kwa namna yoyote ile,na ikiwezekana mpeleke pyschiatry akafanyiwe counselling, otherwise anaweza commit suicide, ukampoteza wa moyo wako!
 
Jaribu kuchunguza kwanza sababu za huyo binti kujifingia.
 
Back
Top Bottom