Shaban Mwiga
Member
- Apr 18, 2017
- 14
- 10
Kazini kwangu watumishi wenzangu hawanipendi kutokana na mimi kupendwa sana na wanafunzi kutokana na kuwafundisha vizuri na somo langu kufanya vizuri kuliko masomo mengine na wanafunzi hao kuonyesha kunipenda zaidi mimi kuliko wenzangu, sasa wenzangu wananitenga nifanyaje?