Ushauri wadau, kiwanja changu kina mgogoro na ninataka kujenga

akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
308
Natumai hajambo,

Nijikite kwenye mada nilinunua kiwanja maeneo ya kinondoni nimekaa na eneo hilo takiribani mwaka hiv mpaka nilipoamua kukiendeleza, yapata miezi kadhaa nyuma nilipojikamilisha nikaenda kuweka msingi, nikiwa katikati ya ujenzi, wakaja vijana waliojitambulisha eti wanatoke office ya kata, nikakubali ila nikawaomba wanipe mwongozo ili nianze na ujenzi, wakanielekeza niende katani, nilipo fika wakanipa form ya kuijaza na pesa wakasema fain ya sh laki mbili, nililipa
Mzozo ukaja kwa wanaopaswa kuweka sahihi ambaye ni afisa mtendaji mtaa, na diwani kata, nilipowapelekea wakagoma kusain na kudai eneo husika ni la kuvamuwa. Ikumbukwe manunuzi niliyafanyia kwenye office yao hivo nikawa ninahangaika nifanyeje, pia nikawa ninaanza kukata tamaa kwan nafis inaniambia nikijenga na mgogoro ukawepo itakuaje kwa pesa za kuunga? Hivo ninaomba mnishauri niwashitaki mwenyekiti mjumbe n.k ili waniambie kwanini hawanipitishii kibari hali wanajua nimenunua kihalali. Na kama kunamtaalamu wa aridha au migogoro ya aridhi ninaomba tuwasiliane pia .
 
Kama ulienda kuandikishiana nao ofisini kwao na wakapitisha mkataba halafu sasa hv wanasema eneo n la mtu mwingne ....hao jamaa wote ni wa kuwatia ndani
Cha umuhimu n kujua nan anamiliki hlo eneo na kwa nn walikubali kupitisha mauziano wakat wanajua eneo limeshauzwa....Hio scenario yako imeshatokea Kigambon ofisi yote ya mtaa ililala rumande na kiwanja chake alikipata jamaa
 
Hivi kata ina watumishi wangapi? Mimi najua ni mtendaji Kata tu, hao vijana wanatoka wapi? Hiyo faini ulilipa ya nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom