Ushauri: Wadada na Kuji-sexisha!

Juzi nilikuwa Morena Hotel

Napata Dinner nikaona mademu 4 wamekaa kama wanasubiria mtu, ukiwaangalia tu unaona kabisa hawa wanadanga, sidhani kama walikuwa wanafunzi maana sura na makeup zilikuwa zakudanga.

Akaja Mzee mmoja wakamsalimia, baadae Mzee akaondoka na danga lake wakaenda kukaa pembeni wale wengine wanacheka.

Yani, nilimhurumia sana yule mzee!

Demu alikuwa anajiseksisha mbaya, tena kwa sauti sijui sifa au ndio mbinu mpya ila ilikuwa too much, watu wanamshangaa yule demu haachi utadhani yupo studio anaimba.

Huko kumshika sasa mzee wa watu utadhani wanataka kuzini!
Yani kidogo niende kumtoa yule mzee nijifanye mwanae nikaogopa kupigwa picha maana vitoto na simu sikuhizi huchelewi kujikuta kwenye magazeti.

Najua demu wa watu alikuwa anajaribu bahati yake na najua chenji zimebakia lakini kujisexisha sio njia ya kupokea chenji!

Wadada punguzeni kujisexisha kwa nguvu hadharani kama mapaka yanayowanga usiku, kama ipo ipo tu, mikelele peleka kwa bed.

Ni hayo tu kwa leo, doh! Mademu wa kiTanzania bado wapo vile vile!

Maisha magumu lakini ila ile movie ilikuwa bonge ya SINEMA!
PS:
Msiempenda kaja!
Mkuu yaani hiyo ndo style mpya ya hapa mjini, huwa najiulizia wakiwa wanatoka makwao akili wanazichomoa kichwani, wanaazima akili za kitimoko!! yaan hii sasa inakuwa too much. Vyuma vikiendelea kukaza miaka minne ijayo nakuapia hawa watu watabaka wanaume mchanaaaaaaa:mad::mad::mad::mad:
 
Hahahahahha nimecheka maskini ya Mungu
Acha atunyooshe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom