The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Mbona siwaoni, hapa wapo Nyumba Kubwa tu na AshaDii wakati thread kama hizi inabidi wafunguke haswa kama ulivyosema Boss mfumo dume wanaousema ndio wanaishi chini ya kivuli hicho inakuwa ni vigumu kwa wao ku-divorce simply because anaona ile jamii inayomzunguka itaanza kumnyooshea kidole for what she has done ndio maana wengi wao wako tayari kuishi anapigwa ndani ya ndoa lakini ataendelea kuvumilia for the sake ya kulinda ndoani ishu kwa kuwa hawataki hata kuzungumza kuhusu divorce
wanajiangusha wenyewe,mijadala kama hii hawataki kabisa kushiriki
sheria zipo hawazijui.....wenzao haki sawa na kupiga vita mfumo dume
zinahusu mno masuala ya divorce.......wao wanaambiana tu 'vumilia'
wanaume tunaweza kuanza kuelimishana
ukiona mwanaume mwenzio 'anamletea ligi ex wife wake'
muelimishe tu sana....
tuwachukulie wanawake kama ambavyo tungependa
mama zetu na dada zetu wawe treated.........
Mbona siwaoni, hapa wapo Nyumba Kubwa tu na AshaDii wakati thread kama hizi inabidi wafunguke haswa kama ulivyosema Boss mfumo dume wanaousema ndio wanaishi chini ya kivuli hicho inakuwa ni vigumu kwa wao ku-divorce simply because anaona ile jamii inayomzunguka itaanza kumnyooshea kidole for what she has done ndio maana wengi wao wako tayari kuishi anapigwa ndani ya ndoa lakini ataendelea kuvumilia for the sake ya kulinda ndoa
tatizo si ligi mwanaume analeta ni wamama ndio wanaleta ligi kuonyesha kwamba wanaweza na si lazima wategemee baba katika maisha ya kila siku
wanadanganyana mno...
nchi nyingi sasa mwanaume ukitaka ku divorce
inabidi uhame nyumba na kumuacha mwanamke na watoto
na pesa za matumizi utakatwa...
hayakuja hivi hivi,wameyapigania hayo mambo....
mi naona huku kwetu wanaume ndio wagumu kutoa talaka kwa wanawake zao, wanataka watengane lakini karatasi hawataki kutoa, hata sielewi kwa nn, mambo ya ndoa haya mie naona kuongea na kurekebisha yaliyoenda mrama ndio mpango mzima,sipendi kuachana kabisa
Hizo mara nyingi ni nchi za dunia ya kwanza; sisi dunia ya tatu average citizen hana cha kugawanya mara mbili.
Hapo hata sheria ikisema baba aondoke mwachie mama nyumba bado baba ataishia kuumbuka na watoto wataingiwa na huruma na hawakawii kukuchukia mama kwa "kumfukuza baba"
Na hili swala la kumbana mwanaume baada ya divorce limefanya wanaume wengine wa hizo nchi waogope ndoa na ku prefer kuishi na wanawake kama partners tu.
na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahauHawatoi makaratasi kwa sababu labda wanaogopa kugawa mali au wanataka siku akikukuta na mwanaume mwingine akutie vibao.
Hhahaha!!! Usiku huu kwa jinsi nilivyocheka....lolTalaka za siku hizi si za makosa, mtu anaamua amepata mwenza mwingine amekuchoka anakutwanga talaka. Uvumilivu ni kiungo muhimu kwa binadamu, ebu imagine huna uvumilivu inakuwaje? ukipika chumvi nyingi talaka, umechelewa chooni talaka! nafikiri wanaume hamjui matumizi ya talaka.
zipo nchi za kiarabu zina system hiyo
kwani partners wewe hupendi?si ni ndoa pia?
na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahau
na kumbuka yeye ndio maybe alipata mwingine akaamua kuhamia huko, au kuoa kabisa, akakuacha unahangaika na watoto, then unaomba talaka bado anakunyima sijui anakuwa anataka nini, mimi dada angu aliambiwa ukienda mahakamani nitakachokufanya hutakaa kusahau
mwanamke akileta ligi
unamdharau tu
lakini matunzo kwa watoto na haya huyo mama yao
ni muhimu aisee....wanawake ni kama watoto wadogo sometimes....
unawachukulia tu
.dubaKwa imani za dini hiyo kitu haipo; ila sasa hao wenzetu sijuhi ndo wanaitwa freemason; lol.
kaenda na kashapata talaka yake tayari, yuko happy na the boss wake...yaani mume wa mtu....yeye kawa nyumba ndogo kama ulivosema kwa thread yako paleyaani kutishwa tu ndo mtu asiende mahakamani??????
kweli mnahitaji msaada mkubwa
.duba
kitu gani hakipo?
saudi arabia,kuwait,dubai,oman.tunisia na morroco...kote huko ukitoa talaka ni werwe mwanaume unahama nyumba
na matumizi unaleta....
Huyu sister nae atarudiana na mumewe tu, coz analalamika hakuna mwanaume anaeweza kumfikisha kama x wakeHaya mambo nyie acheni; kuna baba mmoja (anatoka mkoa mmoja na baba hence was close family friend) alitengana na mkewe.
Kisa wife alikuwa mapepe; mume alikuwa anasafiri sana (pilot) sasa akisafiri mwanamke analala nje. Kuna siku safari ikahairishwa; baba karudi home wife hola.
Wife anarudi home asubuhi anaambiwa baba alikuwepo ameenda kazini;
Mke kafunga virago kajipa talaka mwenyewe.
Mwanaume katafuta mke mwingine kaoa; kumbe mapenzi yake yote bado yako kwa previous wife.
Huwezi amini huyu baba alimgeuza ex wife wake kimada. Ex wife wake alikuwa anakaa karibu na mama yangu hivyo huyo mzee alikuwa analala pale kila mtu anajua.
So sad mbaba keshakufa na HIV after several years of divorce; sijuhi kama walikuwa nao before divorce au uzinzi waliouendeleza ndo umewaponza. Mama anaendelea kusambaza maana ana mvuto wa hajabu.