Ushauri wa shamba Mlandizi

Ushauri wa shamba Mlandizi

shivo01

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
89
Reaction score
142
Habari zenu wadau!Nilikuwa naomba msaada kwa wazoefu wa kilimo maeneo ya Mlandizi. Nina shamba la ekari 8 mlandizi ni km 3 kutoka barabara kuu ambalo bado sijalifanyia project yoyote, Bt kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegungua ardhi yake ni kame sana.

Nilikuwa naomba ushauri wa wazoefu wa maeneo hayo zao gai linafaa na kwa wakati gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom