Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi ninakibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!
Natanguliza shukrani.
I second this, kama unataka email tu namecheap ni chini ya Dola kwa mwezi.Website hosting iliyopo cheap na safe ni Namecheap, wanauza domain na hosting pia.
Mkuu habari mimi nafanya huduma ya hosting email pamoja na domain registration ni elfu 50 tu kwa mwaka naomba tuwasiliane 0759702766Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi
Nina kibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!
Natanguliza shukrani.
Nielezee kidogo basi hapa mkuu
Bei ndefu $6 kwa mwezi. Kama upo serious kuliko kulipa hio hela si bora tu ununue office 365?Gmail hawa unaowajua wewe wana huduma ya kutengeneza custom mail ya jina unalotaka. bei yao sikumbuki ila shughuli zote utamaliza kwenye interface kama ya Gmail lakini ukiwa na email binafsi
Kama ni kampuni njoo inbox.Wakuu naombeni ushauri hasa kwa wale wazoefu wa hizi
Nina kibiashara changu sasa nataka ninunue domain nitumie kwenye upande email mfano info@jorunalbooks.com Na pia upande wa ku host mail inakuwaje!
Natanguliza shukrani.