Ni kweli, ila pia wanaume wengi ni changamoto kwenye swala la mahusiano, usaliti ni laana kubwa sana, husababisha baadhi ya wanawake Kulipa kisasiUkipata mwanamke anayeamini katika miangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu [emoji23][emoji23]
hili ni kweli kabisa ila kwa bahati mbaya siku hizi kumpata mwanamke wa sifa ulizozitaja ni ngumu sana wamebaki wachache sana. Wengi ukiwa unajitafuta na hujajipata wanakuona kama linyumbu fulani hivi, ukishajipata ndio anaanza kukuona kama mtu.Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..
Ukipata mwanamke anayeamini katika miangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu..
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu [emoji23][emoji23]
kuna kurogwa tunawindwa sana si unajua ukishazipata ni wengi wanataka kukuibaUmenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
nashindwa kuamini mwanamke wa hivi yupoUkipata mwanamke anayeamini katika miangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Kweli mkuu,umeongea mambo yenye maana sana boss,tunaishia kupata watu wasioamini ktk mihangaiko yetu boss,mda wote anawaza unamsaliti tu.Ukipata mwanamke anayeamini katika mihangaiko yako, kazi yako, anayeamini kwenye safari yako na kuwa nawe katika hali ngumu na changamoto na anakuunga mkono, akaonyesha ushirikiano bila kufanya usaliti kwa wanaume wengine au hali yoyote mshikilie.
Wanawake wengi (siyo wote) ni vikwazo vya kihisia, kiakili na kirasilimali kwa wanaume wenye malengo mema, mazuri, makubwa na ya muda mrefu.
Nimekaa pale nasubiri povu la wanawake wenzangu [emoji23][emoji23]
Hakuna cha kurogwa wala nini wengi huwa mnakengeuka mnasahau mlipotoka.kuna kurogwa tunawindwa sana si unajua ukishazipata ni wengi wanataka kukuiba
Wakati wa kuvumilia unatakaiwa uwe na macho ya rohoni. kuona nipo na mtu sahihi au la ?Umenena vyema ila wengi wao hawa kaka zetu wakikaa vizuri kiuchumi ndio wanaanza kutafuta wale wanaita type zao ila wale waliohangaika nao kipindi wapo majalala wanawaona washamba.
Usijal totoYaan nimekaa nasubiria mashambulizi yao[emoji2][emoji2]maan najua kuna watakaokuja na mtazamo wao vilevile