Ushauri wa kupata usingizi mchana

Ushauri wa kupata usingizi mchana

Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
Fanya mazoezi makali asubui kwa siku ambayo uendi job.....utalala kama umekufa na kuinjoy usingizi!

Nikifanya mazoezi asubui Huwa nalala usingizi mzito kuanzia saa nne asbh Hadi saa nane mchn.
 
Bora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
 
Fanya mazoezi makali asubui kwa siku ambayo uendi job.....utalala kama umekufa na kuinjoy usingizi!

Nikifanya mazoezi asubui Huwa nalala usingizi mzito kuanzia saa nne asbh Hadi saa nane mchn. na nikifanya mazoezi jioni pia usiku nalala sana, changamoto ya usiku ukichoka sana utashindwa kugonga
 
Bora kukosa usingizi mchana ila sio usiku, mimi nasumbuliwa na kukosa usingizi usiku nikillala saa tano nikkishtuka saa sita ni mpaka kesho saa tano tena ndio nitalala, hii hali inanitesa sana, nikilala kosa ni kushtuka
Tengeneza mazingira unayolala kuwe na ubaridi kidogo, oga maji ya baridi kidogo kama unakaa mikoa yenye joto kama yenye baridi ni vizuri uvae soksi, alafu punguza screentime angalau nusu saa kabla ya kulala, punguza taa zenye mwanga mkali,

Au punguza maongezi kichwani mwako au jitahidi usiwe unawaza mambo kabla ya kulala
 
Hahaaa kwamba apunguze maongezi kichwani
 
Ukifika kitandani anza kufanya blinking mfululizo utalala taka usitake.

BLINKING (chatgpt)
Kitendo cha kufumba na kufumbua macho kwa haraka kinaitwa kupiga miayo ya macho au kwa Kiingereza blinking.

Kwa maelezo zaidi:
- Blinking ni tendo la kawaida la macho kufumba na kufumbuka kwa haraka ili kusaidia kuyaweka macho kuwa na unyevu na kuyalinda dhidi ya vumbi au vitu vya nje.
 
Tafadhali husika na mada apo juu mm ni muungwana ambae natamani kupumzika mchana siku nikiwa sina pirika ila naishia tu kukaa kitandani bila kupata usingizi hii hali inanisumbua sana ila usiku nalala vizuri tu hii imekaaje wakuu
1000078168.jpg
 
Back
Top Bottom