JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 766
- 563
Picha gani sasa Mkuu?Picha picha .. wali bila maharagwe wa toto awajashiba
Mdau ametishwa na stori kuwa eti Demu wa kijijini akierevuka anaeza kuwa yule aliyeimbwa na Prof J.Aache woga. Tuliopo mjini wengi tumetokea kijijini. Si kila anayetoka kijijini anakuwa limbukeni wa maisha. Ns si wote wa mjini wapo kama kina Gigi. Nina swali. Wanaume huwa hawaoi wanaowapenda? Au anayehitajika ni mwenye sifa za kuwa mlinzi wa nyumba?
Jamaa yake juzi juzi tu katoa talaka kwa 'Mdada wa mujini' ndoa iliyodumu mwaka mmoja tu, sasaMkuu kwa umri wake huo ni mkubwa Sana ku evaluate wife material haijalishi anaishi mjini au kijijini. Pia kama Ana chuchu yake hapa town na anaona anafaa kuwa wife ni bora zaidi kuliko kubeti kijijini.
Sasa hata akikurupuka kuoa si wataishia kupeana talaka na hatimaye singo.Hayo mambo ukitaka kuchambua sana utafika 50 hujaoa.
Ndio ipi hiyo Mzee baba?Tafuta ngoma ya momba dar es salaamu
Hayo mambo ukitaka kuchambua sana utafika 50 hujaoa.
No one is perfect mkuu cha msingi uwe na uhakika wa mtu aneataka kumuoa haijalishi ni wa mjini au kijijini lakini pia kuoa kijijini Sio kigezo cha kupata mke bora.Jamaa yake juzi juzi tu katoa talaka kwa 'Mdada wa mujini' ndoa iliyodumu mwaka mmoja tu, sasa
ameingia baridi.
Wa kutoka kijiji kimoja huenda wakaendana vizuri.No one is perfect mkuu cha msingi uwe na uhakika wa mtu aneataka kumuoa haijalishi ni wa mjini au kijijini lakini pia kuoa kijijini Sio kigezo cha kupata mke bora.
Namshauli aangalie mtu aneona anamfaa kila idara kuwa mke wake na mengine yajayo atapambana nayo mbele ya safari.
Ila kama angepata mtu wa kutoka kwao hata kama wamekutana town ingekuwa poa Sana Kwa usalama wa ndoa yake.