Ushauri wa kununua TV ya bei poa

Ndeonasiae

Senior Member
Aug 15, 2011
102
49
Wapendwa nina laki mbili nahitaji TV ambayo ni nzuri naweza unganisha na game wanagu wacheze, ushauri pls used au brand new and where to buy.
 
Ninayo used TV YA KAWAIDA niliinunua mlimani city ni karibu mpya naiuza laki 2.
ni nchi 21,inaitwa LOGIC nI MOJA YA BRAND ZA UKWELI SANA .
ni pm if interested.
 
Back
Top Bottom