Ushauri wa kozi pamoja na vyuo. Ubora wa MoCu

Messier 31

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
504
Reaction score
1,358
Habari JF,
Matokeo yake ya kidato cha sita ni haya
-Economics 'C'
-Geography 'D'
-A/Maths 'E'
Katika kuangaliaangalia kozi mbalimbali nimekutana na hizi kozi; 1.Bachelor of Accounting and fnance.
2.Bachelor of science in business communication and information technology.
Na moja wapo ya vyuo vinavyotoa hizo kozi ni Moshi Coperative University(MoCu).
Ningependa kujua kozi ipi ni nzuri haswa kwa upande wa ajira na pia kujiajiri. Pia ubora wa chuo(MoCu) katika hizo kozi, pia kama hicho chuo sio sahihi ningependa kuomba mapendekezo ya vyuo bora kwa hizo kozi.
Pia kama kuna kozi nzuri ambazo anaweza akafit kwa masomo aliyo soma na ufaulu aliopata nakaribisha ushauri.

Update:Kwenye title ni MoCu Sio MuCo (typing error)
 
Chuo kipo vizuri..kwa accounting soma mocu .kwa bussiness information ,tafuta udom ,,ila Kama utabaki mocu soma bussiness iko vizuri pia
 
Habari JF,
Matokeo yake ya kidato cha sita ni haya
-Economics 'C'
-Geography 'D'
-A/Maths 'E'
Katika kuangaliaangalia kozi mbalimbali nimekutana na hizi kozi; 1.Bachelor of Accounting and fnance.
2.Bachelor of science in business communication and information technology.
Na moja wapo ya vyuo vinavyotoa hizo kozi ni Moshi Coperative University(MoCu).
Ningependa kujua kozi ipi ni nzuri haswa kwa upande wa ajira na pia kujiajiri. Pia ubora wa chuo(MoCu) katika hizo kozi, pia kama hicho chuo sio sahihi ningependa kuomba mapendekezo ya vyuo bora kwa hizo kozi.
Pia kama kuna kozi nzuri ambazo anaweza akafit kwa masomo aliyo soma na ufaulu aliopata nakaribisha ushauri.

Update:Kwenye title ni MoCu Sio MuCo (typing error)
Tafuta kozi yenye kuhitajika na waajiri wote kama wewe umetoka familia maskini. Kama kwenu mna uwezo na husemi ili uajiriwe kasome hiyo namba 2
 
shukrani, sana
vipi hiyo kozi ya pili na hii hapa BSc in business information system, inayotolewa UDOM si ni kama kitu kimoja tu

Kuna kozi ambazo waajiri wake ni wachache sana mfano hiyo unayoizungumzia ingawaje ukibahatika kupata kazi inalipa sana.

Nachoweza kukushauri chagua kozi ambayo hata ukikosa ajira unawezafanya kazi za hapa na pale za kujiajiri mfano Accountancy, Civil Engineer, Architecture, Land Management & valuation, Law. Achana na kozi ambazo waajiri wake ni wachache na huwezi kujiajiri kwa kutumia hiyo elimu yako
 
Law kibongo bongo.. Kuji ajiri awa sumbui?
 
Kuna kozi ambazo waajiri wake ni wachache sana mfano hiyo unayoizungumzia ingawaje ukibahatika kupata kazi inalipa sana.

Nachoweza kukushauri chagua kozi ambayo hata ukikosa ajira unawezafanya kazi za hapa na pale za kujiajiri mfano Accountancy, Civil Engineer, Architecture, Land Management & valuation, Law. Achana na kozi ambazo waajiri wake ni wachache na huwezi kujiajiri kwa kutumia hiyo elimu yako
Aliyokuambia bussiness information hujiajir Nan ? Wakat huyo anaajirika sector zote na anaweza kuoperate ATM
 
We msomi, linganisha topic iliyopo na comment unashindwa kujua hiyo ni recomendation
mkuu ungejaribu kuielezea japo kwa kifupi. ajira zake zkoje na je mhitimu anaweza akajiajiri?
 
Ajira ni tatizo kila kozi,
Nachopendea uchumi ni mpana, utasoma biashara kilimo viwanda nk, fursa zipo zaid ukiingia masters but kwa degree pia ukipiga gpa nzuri unawez kua manager wa masoko, kampuni, au consultant katika maswala ya economics kwamfano kampuni inataka kufilisika unalipwa ufanye utafiti uwape solutions
Mchumi pia hashindwi kuendesha biashara binafsi, chamwisho unawez kufundisha pia, GPA 3.5 unaweza kua mkufunzi chuo chochote wew tu unajiongeza vp ukisema kozi yenye ajira ni udaktari tu nao daktari bingwa
 
omba udsm bcom in accounting or finance..ila inatakiwa matokeo yako ya olevel yawe mazuri..
 
Back
Top Bottom