Ushauri wa kitabibu juu ya uchovu, ganzi na maumivu

Mahunda Jr

Member
Apr 5, 2020
30
25
Habar.

Nasumbuliwa na shida ya mwili kukosa nguvu hasa mikono na miguu, pia nahis ganzi miguuni na mikonon pamoja na maumivu nikikunja na kukunjua viganja vya mikono.

Je hizi ni dalili za nn?
 
Pole sana kwa yanayokusibu, usahihi nenda hospitali zungumza na madaktari shida yako ndio watakupa majibu sahihi pamoja na kukupa tiba, hapa Jamii Forum kila mtu ni mtaalam hata kwa tusioyajuwa, utajiongezea mataizo.
 
Habar.

Nasumbuliwa na shida ya mwili kukosa nguvu hasa mikono na miguu, pia nahis ganzi miguuni na mikonon pamoja na maumivu nikikunja na kukunjua viganja vya mikono.

Je hizi ni dalili za nn?
Hakuna kitu kibaya kama kuulizia dalili za ugonjwa sehemu kama hapa. Unaweza kujikuta kwenye wakati mgumu sana kwani unaweza kuambiwa una ugonjwa mbaya ambao pengine hauponi. Pia unaweza kupewa ushauri wa kunywa dawa na ukasababisha kuugua zaidi. Na zaidi, kuchelewa kumwona dr kunafanya ugonjwa uzidi kukomaa. Dalili unazoulizia zinaweza kumpata mtu yoyote na sababu zinaweza kuwa moja ya sababu nyingi. Kumwona dr ndiyo njia sahihi.
 
Pole,
Basi kunakuwa na mambo mengi ya kuunganushwa kabla ya kufika tiba:
1: Dalili zina muda gani?
2: Uwepo wa dalili nyingine: upataji wa kiu, unywaji maji, kizunguzungu, mafua au kikohozi, miyo kwenda mbiyo etc
3: Vipimo kuthubitisha au kukanusha baadhi ya mawazo.
4: Kupata tatizo halisi na tiba

NB: Onana na mtaalamu wa afya kukuongoza kwenye hili.
 
Asante. Dalili hizi haziambatan na dalili nyngne na hizi dalili zipo Kwa takriban mwaka sasa. Ispokuwa napuuzia kutokana na nature ya kaz yangu/ujenzi/ kuna muda najifarij kuwa ni sabab ya ugumu wa kaz
 
Hakuna kitu kibaya kama kuulizia dalili za ugonjwa sehemu kama hapa. Unaweza kujikuta kwenye wakati mgumu sana kwani unaweza kuambiwa una ugonjwa mbaya ambao pengine hauponi. Pia unaweza kupewa ushauri wa kunywa dawa na ukasababisha kuugua zaidi. Na zaidi, kuchelewa kumwona dr kunafanya ugonjwa uzidi kukomaa. Dalili unazoulizia zinaweza kumpata mtu yoyote na sababu zinaweza kuwa moja ya sababu nyingi. Kumwona dr ndiyo njia sahihi.
Asante
 
Habar.

Nasumbuliwa na shida ya mwili kukosa nguvu hasa mikono na miguu, pia nahis ganzi miguuni na mikonon pamoja na maumivu nikikunja na kukunjua viganja vya mikono.

Je hizi ni dalili za nn?
Sio kwel kwamba ni ukosefu wa vib B 12 tu? Ili kujua shida lazma tujue umri wako, uzit, kazi na lishe yako kwa ujumɔa wake. Lazma uangalie historia yake blood group na mengimeyo. Ukiwa na muda tupigie. 0744397902, 0699254400
 
Back
Top Bottom