sijajua kama hao watu wanao uhakika/ushahidi asilimia 100% kwamba mtoto huyo ni wa kambo. ushahidi gani wanao? kama ni hisia tu, hizo hazitambuliki kisheria. nafikiri ungeeleza kwanza namna gani wana uhakika na ushahidi huo ndipo tutapata, na namna gani wewe mwenyewe una uhakika na jambo hilo kama la kweli ama la.
HUYO MTOTO HATARITHI mali za marehemu baba yake ambaye amekufa bila kumtambulisha/kumhalalisha, labda kama alikuwa amemwandika kwenye wosia.....hapo kama kweli imethibitika yeye ni mtoto wa kambo, hatakuwa na haki kurithi kwa sheria za mirathi ya kimila na hata kiserikali au kiislam. hatakiwi kurithi; ila hapo ATAKUJA KURITHI MALI ZA MAMA YAKE AKIFA, mali za marehemu baba yake ambaye amekufa bila kumtambulisha/kumhalalisha na kutambulika kuwa wake, hatakiwi kurithi. huyo mtoto hana haki hiyo....labda kama atakuwa aliandikwa kwenye wosia kama mtu baki tu na si kama mtoto.
TUNAHALALISHAJE WATOTO/TUNAWATAMBULISHAJE?...Kuna mila tofautitofauti, makabilia mengine huwa wanaweza kulipa fungu la fedha wanapojitambulisha, weninge ng'ombe, wengine wanaenda tu na washenga kujitambulisha kwa wazazi wa mwanamke waliyemzalisha...na kwa huyo ambaye mwanamke alikuwa anatoka nje ya ndoa hata mtoto wa kambo akatokea lazima kikao cha ukoo kingekaliwa na kupigana faini na mambo kama hayo hata mtoto huyo aliyezaliwa ndani ya ndoa lakini ni wa kambo atambulishwe baba yake ni yupi.bofya hapa
SHERIA KWA KISWAHILI
View attachment 104019
View attachment 104020View attachment 104020View attachment 104020View attachment 104020