Ushauri wa kina unaitajika

hapo wadada ndipo mnapo nifurahisha...! ugelifriend tu panachimbika vipi ndoa sasa, make mtu anafikiria kama uhusiano tu ubnakuwa na ghrama badala ya kujifanya disminder..! huyu hataki ndoa hapo mzee gegeda ualale mbele mzee!
 
hapo hakuna mapenzi, tafuta ka-LAKI ,piga mzigo..chapa lapa.
 
Sasa unataka ushauri gani hapo? Huna common sense wewe?

da hebu mwambie maana kama vile hatumii akili vizuri au cjui ni mgeni wa haya mambo maana hawezi soma alama za nyakati aisee..
 

Sasa we unategemea nini wakati kwa miezi yote mitatu uliyomfuatilia ulikuwa unaonyehsa advatize ya hela?...
 
Jitume baba, ukitaka vizuri shurti udhulike atiii!!!
 
bahili afaidi hadi siku ya iddi
acha uchoyo wewe mzee
toa ubarikiwe ,bora kutoa kuliko kupokea

Hapo imekaaje ndugu, siku hizi kuna kupata/kupewa baraka baada ya kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu, ama shetani naye anabariki.
 
Kila kitu kina gharama yake mbona madai yake sio makubwa sasa angeomba umnunulie nadia ungesemaje mpendwa. Ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge . Na ukiamua kuasi asi kwa mapana yake sio nusunusu sasa sijui wewe hapo unatafuta starehe au mke mie sijui. Kma unatafuta starehe basi mridhishe mwenzio na kama unatafuta wa kuoa ni vema ukamwambia mtazamo/wasiwasi wako ktk hilo.
 
hapo hakuna mapenzi, tafuta ka-LAKI ,piga mzigo..chapa lapa.
Hivi hii ni bei ya chini au ni bei ya kawaida na ikiwa aghari sana inafikia sh ngapi. I'm just curious
 
Hapo imekaaje ndugu, siku hizi kuna kupata/kupewa baraka baada ya kuvunja amri ya sita ya Mwenyezi Mungu, ama shetani naye anabariki.
Siku hizi mambo ya dhambi yameachwa mbali sana mpaka mtu akifa . Tena kizazi hiki hakitaki kabisa kuijadili dhambi na ukijaribu kuigusia wataboreka hivi ndivyo ulimwengu ulivyo hasa kwenye nchi zetu za dunia ya tatu maana ndiko kuliko na ushenzi wa kila namna. Na ndiko neema ilikomwagwa kwa wingi
 
aisee mbona mie hao wanaohonga siwapati? nataka kabati ya mbeho....
 
Wewe ni ATM Machine yake,,so endelea kuhudumia tuu
 
Hapo tofauti ni kwamba wewe unampenda yeye na yeye anapenda pesa tu,fikilia usipokuwa na pesa atakutaka tena?
 
Kwani ulimtongoza kwa madhumuni ya kuwa mzazi wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…