[Ushauri]: Wa Kikubwa na Kiutu_Uzima Unahitajika hapa

huu mtihani sidhani kama hata malaikA atafaulu.....ni shidddA kwanza unaonekana una asili ya uchafu we jeans zote hufui unaweka unasubir mtu aje kufua kwa kumpima .mmmmh
 
Sidhani kama ataweza kurudi. Si9 kwamba anaona kazi nyingi,la,ataona hawezi kuishi na mwanaume asiyejali.

Practical ndio hadi shimo la taka achimbe yeye??
 
MKUU,

HIYO JEANS KUVALIWA MIEZI 6 SIO KWA LENGO LA KUDUMISHA UCHAFU,
BALI NI KUANDAA INTAVYUU YA MATIRIO_WAIFU.

Kwa hiyo material wife wako ni wa kufua majeans machafu hivyo? Unataka mke au unataka mtumishi wa ndani? Nimesema interview yako haionyeshi kama unachotafuta ni mke au unataka mtwana. Vinginevyo, katunge mtihani mwingine kwa sababu huu kwa maswlai yako ajili ya kutafuta mke, ni sawa na kuandaa maswali ya fundi ujenzi wakati wewe unataka kuajiri dereva wa gari.
 
Dah! Kama unataka hayo yote tafuta msaidizi tene mwanaume mwenzio na sio mke. Achimbe shimo la taka, afue, apike, adeki, alime na mkono, na majeans yako na mashuka ya miezi sita pia afue....
Kwanza wewe sio mtu, unatumia shuka miezi sita???
ha ha ha haaaa....sikupanga kucheka leo lakini naona comedy imenifata. All the best.
Na wewe upewe practical ipi tujue kama wewe ni mme bora?
According to Mahubiri ya leo: SATAN HAS MADE YOU LOOSE CONTROL. COME BACK TO YOUR SENSES.
 
Nimesoma aya moja tu ikanishinda. Tanzania ya viwanda itakuwa na watumish kweli kwa namna hii?
 
Dah!! Mk
WAKUU,

NAOMBA KUULIZA KIDOGO,

HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??

_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe,

Huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali wa dona,
mle mshibe.

Bila kusahau kumpa jeans zako angalau 19 na shuka zako ambazo umezitumia kwa takriban miezi 6 mfululizo bila kuzifua,
azifue zitakate,

Wakati huo ushampa ufagio na tambara la deki asafishe chumba hadi king'ae,

Huku ukimpa malengo yako ya kuanzisha kilimo cha mapera na mikarafuu
na kutaka sapoti yake ya dhati
Ikizingatiwa kilimo chenyewe kitafanywa kwa jembe la mkono,

Baada ya hapo mpe sululu na chepe ili ahakikishe anachimba shimo la takataka
(Sio refu,
Ni la futi 6 na robo tu)

Kisha mpe dumu la
20 ajaze maji kwenye pipa la Lita 113 lita nusu lililopo hapo gheto,

Na amalizie kudeki chooni.

Ikifika saa 12
mpe nauli inayotosha kumfikisha kwao tu,
Bila ziada wala nyongeza yoyote.

Akirudi tena kesho,
Muoe kabisa huyo!
Ni @Waifu_Matirio huyo!

Usimuache kabisa huyo!

Hasa akiwa wa @BAED_KUNOGA!"
_______

LENGO NII_APPLY HII PRACTICAL HIVI KARIBUNI,
AU MWAIONAJE WAKUU??

TUPEANE MAWAZO FASTA HAPA
Mkuu ukifanikiwa kumpata kama huyo basi hatakua ni wife matetial bali atakua ni ROBORT....
 
More than impossible hata km ungekuwa tayari kufanya yote hayo hawezi ndani ya siku moja! Awashe Mkaa ulolowa, apike, afue, achimbe shimo, achote maji. Sijawahi kuona hiyo. Hata kijijini haipo. Halafu baada ya yooote hayo umpe nauli tu. Utasubiri saaana
 
Oa robot chief, ingawaje nayeye akiona kweli mnaanza hicho kilimo cha mapera kwa jembe la mkono lazima ale kona.
 
Mkuu unafanya vipimo vya mke au vipimo vya mwanajeshi

Kwa watoto wa town sidhan labda wa uswekeni huko, ila bado naamin atafanya huku moyoni ana lake jambo linatukutia..

Kama unatafta mkee hatafutwi hvyo, ila kama unatafuta mwanajeshi a.k.a alshabibi hapo sawa.. Endelea mkuu
 
WAKUU,

NAOMBA KUULIZA KIDOGO,

HIVI KUIFANYIA PRACTICAL NADHARIA HII
KUNA UBAYA WOWOTE??

_____________
"Mchukue demu umpeleke geto,
Halafu mpime
kwa kumpa jiko la mkaa lililolowana awashe moto mpaka manailoni yote yaishe,

Huku akichambua maharage magumu ayachemshe yaive apike ugali wa dona,
mle mshibe.

Bila kusahau kumpa jeans zako angalau 19 na shuka zako ambazo umezitumia kwa takriban miezi 6 mfululizo bila kuzifua,
azifue zitakate,

Wakati huo ushampa ufagio na tambara la deki asafishe chumba hadi king'ae,

Huku ukimpa malengo yako ya kuanzisha kilimo cha mapera na mikarafuu
na kutaka sapoti yake ya dhati
Ikizingatiwa kilimo chenyewe kitafanywa kwa jembe la mkono,

Baada ya hapo mpe sululu na chepe ili ahakikishe anachimba shimo la takataka
(Sio refu,
Ni la futi 6 na robo tu)

Kisha mpe dumu la
20 ajaze maji kwenye pipa la Lita 113 lita nusu lililopo hapo gheto,

Na amalizie kudeki chooni.

Ikifika saa 12
mpe nauli inayotosha kumfikisha kwao tu,
Bila ziada wala nyongeza yoyote.

Akirudi tena kesho,
Muoe kabisa huyo!
Ni @Waifu_Matirio huyo!

Usimuache kabisa huyo!

Hasa akiwa wa @BAED_KUNOGA!"
_______

LENGO NII_APPLY HII PRACTICAL HIVI KARIBUNI,
AU MWAIONAJE WAKUU??

TUPEANE MAWAZO FASTA HAPA!
Kaka kwan ww una Umri gan......?
 
huu mtihani sidhani kama hata malaikA atafaulu.....ni shidddA kwanza unaonekana una asili ya uchafu we jeans zote hufui unaweka unasubir mtu aje kufua kwa kumpima .mmmmh

MKUU,
SIO UCHAFU,

BALI INTAVYUU NI LAZIMA IANDALIWE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom