Ushauri wa kibiashara (Viatu na mabegi ya kike)

Ushauri wa kibiashara (Viatu na mabegi ya kike)

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,150
Wadau ni muda sasa umepita tangu nianze kuomba ushauri juu ya wazo langu la biashara ya viatu na mikoba ya kike hapa songea bila kupata michango ya wadau.

Hadi leo hii maendeleo juu ya uanzishwaji wa biashara hii yamefikia 90%. Leo napenda kupata mchango wowote wa wadau juu ya biashara hii kama vile, hitaji la wateja kwa sasa, changamoto, upatikanaji way mzigo wa uhakika kwa bei rafiki nk.

Ahsanteni!
 
viatu umeshapata sehemu ya kuchukulia kwa jumla?
 
Back
Top Bottom