Wenye madem wanachuo msijifanye kupenda sana..binafsi na madem wachuo nikiwa nao getto chuoni uwa naona sms zenu mki bembeleeza msi salitiwa full kuhudumia wakati mwingine nazijibu mimi mwenyewe izo sms .mkipiga simu natuliza rungu langu ndani najilia kimya kimya usi sikie
inshort chuoni madem ku escape kucheat ni ngumu.. kula uende zako au subirini wamalize vyuo[emoji81][emoji81]
Time is a drug. Too much of it kills you