hili ndio tatizoHuyu mdada ni mwanachuo hapa Tanzania
Wasalaam wakuu.
Nipo na jamaa yangu, sio mwana JF,
Jamaa huyu amekuwa na mwanadada ayemwita mpenzi/mchumba wake yapata kipindi cha miaka mitatu sasa.
Jamaa yangu anaeleza kuwa mwaka mmoja wa mwanzo wa mahusiano yao alifurahi sana na walipendana na mchumba wake,
Baadae Mambo yalianza kubadilika, mdada akawa haeleweki tena, simu mpaka atafutwe, dharau kibao juu ya jamaa, furaha ikatoweka huzuni ikatanda maishani mwa jamaa yangu.
Sasa jana jamaa yupo kwa anayemwita mchumba wake, sijui kilitokea nini mpaka jamaa anasukumwa kufungua pochi ya mpenzi wake, mama weeeeeee jamaa alichokikuta anasema kinywa kilikata maneno, . Jamaa anashangaa kukuta condom moja kwenye pochi ya mpenz wake, alafu wakati huo mpenz wake akawa anadai maumivu sehemu za Siri.
Mpaka mda huu jamaa mawazo ya nini afanye ni kama yupo njia panda.
Huyu mdada ni mwanachuo hapa Tanzania. Na jamaa anaonekana kuwekeza sana kwa huyu bidada.
Ushauri wenu ntaufikisha kama ulivyo bila kupekecha macho
Karibuni kwa mawazo na ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]ataishi unavyotaka wewe eti...!kuna vitu havitakiwi kwenda sambamba
haiwezekani akawa anamhudumia halafu bado ampe tabu
achague aishi kibepari au kijamaa
Bora hata anakumbuka kinga, means anajali afya. Mengine afanye maamuzi mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yalishawahi kunikuta kikubwa jamaa naye ajiweke busy tu aachane na huyo mwanamke kikubwa ale time zake wala hata asimtukane wala kugombana unakausha tu watu tupo 7billion kwanini mtu akunyanyase wakti wewe ni dhahabu amka vuta vumbi maisha yaendeleeWasalaam wakuu.