functional
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 738
- 795
Unaomba ushauri kwani unalazimishwa kula kwa madada poa mkuu?Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume wa 2 na wa kike mmoja, tatizo nimekuwa na vutiwa sana na hawa madada poa, kuliko hata mke wangu sijui hata tatizo ni nini, kwa mfano nikipita mitaa ya Villa Park, roho yangu inatamani sana ninunue hawa warembo wa barabarani, isitoshe huwa naenjoy kuliko hata kwa wife, jamani naombeni ushauri wenu kwasababu nimekuwa addicted na hawa viumbe, nifanyeje ili niweze kuacha.?
Mkuu umesoma hii mada kweli 😀😀😀😀Kwanza kabisa unahuakika kama watoto 3 ni wako ulipima DNA .labda mkeo ndo alikuwa wa kwanza kutamani ma braza du wa nnje waka mjaza
Kama yeye anavutiwa Na dada poa, anajuaje kama mkewe pia avutiei Na mitwango ya nnje Adi ikapelekea kubambikwa wa toto , apo Na sisi tunauliza kapima DNAMkuu umesoma hii mada kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji134][emoji134][emoji134]Usiache mkuu
Mwambie mkeo asimame hapo mitaa ya villa park..kila ukipita unanunua kwake
Kivp sinatumia kinga mkuu?Una nyota ya ngoma. We ushakuw edicted tena utaacha familia.Acha ni maamuzi kama kuacha pombe au feg angalia mkeo akipata mdudu wa kuletewa huendi mbinguni
Mazoea mabaya Mungu anatabia moja ikiwa ni shida ata mara moja anakuokoa sababu ni ganzi.Kivp sinatumia kinga mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niandae dose ya ABC/3TC 300mg/300mg na Atazanavir/Ritonavir 300mg/100mg, kwa maandalizi ya kupokea mteja
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Rudi utoe huduma huku[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]Rudi utoe huduma huku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Namsubiri baada ya miezi 3, nianze kazi
mkuu unaonaje mkeo umpeleke nae akajiuze lakini ukawa unamnunua wewe mwenyewe tu?Ngoja niende kwenye Mada husika, naomba tu niwe muwazi wadau, kuna katabia ambako kananisumbua sana na nimeshindwa kukaacha kabisa, kiukweli me nimeoa na nimebahatika kupata watoto wa 3, wa kiume wa 2 na wa kike mmoja, tatizo nimekuwa na vutiwa sana na hawa madada poa, kuliko hata mke wangu sijui hata tatizo ni nini, kwa mfano nikipita mitaa ya Villa Park, roho yangu inatamani sana ninunue hawa warembo wa barabarani, isitoshe huwa naenjoy kuliko hata kwa wife, jamani naombeni ushauri wenu kwasababu nimekuwa addicted na hawa viumbe, nifanyeje ili niweze kuacha.?
Ahsante,na wewe pia ulale salama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nakutakia usiku mwema...kesho panapo majaliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa katoa ushauri bila hata kusoma mstari mmojaMkuu umesoma hii mada kweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]