Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,571 Reaction score 176,797 Sep 13, 2017 Thread starter #381 Madame B said: Hamna namna. MO11 uje tukupe talaka na mwenza wangu. Mwanaume gani una michepuko kila mtaa na kila jukwaa!!! Shahidi Shunie na Maserati Click to expand... Mie nishamchoka kwakweli, nami najiliwaza kwa muda wangu.
Madame B said: Hamna namna. MO11 uje tukupe talaka na mwenza wangu. Mwanaume gani una michepuko kila mtaa na kila jukwaa!!! Shahidi Shunie na Maserati Click to expand... Mie nishamchoka kwakweli, nami najiliwaza kwa muda wangu.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Sep 13, 2017 #382 Madame B said: Nipo mrembo wangu. Majukumu ya Anko Magu ndio yamebana Click to expand... Tutafutane viwanja vile mama
Madame B said: Nipo mrembo wangu. Majukumu ya Anko Magu ndio yamebana Click to expand... Tutafutane viwanja vile mama
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Sep 13, 2017 #383 espy said: Nitumbue nae kwani yupo sasa!! Sijui hata yupo kwa mchepuko gani. Click to expand... Yupo kwangu
espy said: Nitumbue nae kwani yupo sasa!! Sijui hata yupo kwa mchepuko gani. Click to expand... Yupo kwangu
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,571 Reaction score 176,797 Sep 13, 2017 Thread starter #384 Valentina said: Yupo kwangu Click to expand... Ooooh afadhali. Daby kuja kipande hii
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,530 Sep 13, 2017 #385 espy said: Mie nishamchoka kwakweli, nami najiliwaza kwa muda wangu. Click to expand... Ndio mwenza. Tumechoka
espy said: Mie nishamchoka kwakweli, nami najiliwaza kwa muda wangu. Click to expand... Ndio mwenza. Tumechoka
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,838 Reaction score 37,530 Sep 13, 2017 #386 Valentina said: Tutafutane viwanja vile mama Click to expand... Poa my dear one. Nadhani weekend hii tunaweza kukutana kiwanja. Ila shost nina umbea gunia, mpaka nawashwa
Valentina said: Tutafutane viwanja vile mama Click to expand... Poa my dear one. Nadhani weekend hii tunaweza kukutana kiwanja. Ila shost nina umbea gunia, mpaka nawashwa
jay311 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,932 Reaction score 2,720 Sep 14, 2017 #387 John apambane na hali yake